Ndoa ya Mh. Lazaro Nyalandu inapumilia mashine

Jf ni hatare.
Watu wanajua kuunga dot za uwongo na kweli
Niko na faraja hapa na mh.nyalandu wanawashangaa
 
Kwa nini Nyalandu hawi kama huyu mwenzie?

Nasikia hata vyombo anaosha huyu jamaa. Si mchezo
 
yule mpenda papuchi sana anawavua sana pichu dada zetu wapenda mpunga haya sasa wacha ka uncle kazaliwe tujue ukweli.
 
Mkoa wa Arusha ndio unaongoza kwa wanaume kuwa wambea kuliko wanawake, na usiwaone hao wanaume mchana wamevaa suruali ikifika usiku huwa wanavaa Khanga!
 
habare ndio hiyo.......

kwanini nife na njaa na uchumi nimeukalia

sasa anza kuyazungumza yako hapa kwenye celebrity ndo uanze ya nyarandu.unawadanganya watu ooooh am stressed sijui wanaume sijui nn finding sympath tushakustukia na ndo maana tunakupotezea tu siku hiz.cheap ho!!!
 
hahaaaaaaaa its not a laughing matter we ukinipotezea
sina cha kupunguza wala cha kuongeza... kutafuta sympath JF
unaumwa kichaa wewe..yes am CHEAP if it makes you sleep at night mxiuuuuuuuuuuuuu
 
sasa anza kuyazungumza yako hapa kwenye celebrity ndo uanze ya nyarandu.unawadanganya watu ooooh am stressed sijui wanaume sijui nn finding sympath tushakustukia na ndo maana tunakupotezea tu siku hiz.cheap ho!!!

Mkuu kumbe na huyu ni walewale.hata Mimi nilianza kimshtukia
 
Mada ya Nyarandu imegeuzwa.....si bure kuna ukweli ndani yake
 
Nakubaliana na Mtoa mada maana jamaa anaboa sana hata kama ni jeuri ya pesa atulize dyudyu yake. Kuna mdada mmoja anafanya TBCCM mwanza anaitwa J kamnunulai na gari demu kamtosa msela kisa nyala damn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…