Ndoa ya Mh. Lazaro Nyalandu inapumilia mashine

dah jamaa akisoma hii post mbona atapelekwa Hindu Mandal.
mbona faraja na yeye kaliwa sana na yule bosi wa bank

tena meeting point yao ilikuwa mlimani city

anakuja na gari lake anaingia kwenye gari la huyo jamaa
 
Faraja ndo mnyiramba! Sasa imekuwaje mnyaturu akawa mbunge wa Iramba? Si kwa wanyiramba kule?
Nyalandu ni mnyiramba ila ni wale wanaoitwa wanyisanzu ambao basically ni wanyiramba tuu...ni sawa na wanyantuzu ni wasukuma tu wa bariadi...njoo vile mkuu.
 
Kamezichuma then kanataka kumtafuta size yake kafaraja,ndo madhara ya kuolewa kwa sababu za kimasilahi.
 
Faraja hana jeuri ya kumuacha muheshimiwa hata robo. Ni wale watu wa SHOW BUSINESS bora hata ateseke lakini aonekane kaolewa. Mnyiramba yule na si unajua wanyiramba kwa kupnda ndoa hawana mpinzani? Nyalandu hata fanyaje Faraja haachii ngazi pale.

Una akili za kipumbavu sana
 
mbona faraja na yeye kaliwa sana na yule bosi wa bank

tena meeting point yao ilikuwa mlimani city

anakuja na gari lake anaingia kwenye gari la huyo jamaa

Huyu jamaa noma dushe lake ameliloweka kwa mademu wengi hapa mujini kala radha tofauti tofauti
 
Ndoa nyingine tabu tupu

Wadada wa mjini show off atafanyaje akiachia ngazi, hayo mateso anayapata ila ndio hivyo tena mashauzi yanahitaji pesa..... Ngoja nipite mdogomdogo niwapishe wadada wa town
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…