Una akili za kipumbavu sana
af wewe mbona hujaleta pipa??Hata zikiwa za kisengerema HANGOKI MTU PALEEEEEE! HIVI NAVOSEMA DILI LA SAUDI UNAFIKIRIANI FEW CHANGE? Thubutuuuuuuuuuuuuuuuu! Kamahakungoka before sahivi ndo hangoki kabisaaaaaaaaaaaaaaaaa!
Lazaro Nyarandu ....
Pia anahaha kunusuru ndoa yake ili ajiweke vizuri katika nia yake ya kugombea Urais October 2015.
Hicho ndicho kipaji chake, mabinti kila kona, siku akiwa raisi si ndo ikulu itakuwa dangulo? Aunt ezekiel awe first lady? My gosh!
Faraja ndo mnyiramba! Sasa imekuwaje mnyaturu akawa mbunge wa Iramba? Si kwa wanyiramba kule?
Hey una undugu na PDIDY? maandishi yako.......!Kk mbona mnahangaika hao sut zinawchanganya urasi cyo kupenfeza siti wanye wslale tu.
Zimefotolewa lini hizi?
Nyalandu ni mnyiramba ila ni wale wanaoitwa wanyisanzu ambao basically ni wanyiramba tuu...ni sawa na wanyantuzu ni wasukuma tu wa bariadi...njoo vile mkuu.
But namuaminiaga Lazaro yeye huwa anacheza na mabinti warembo tu
wengine wabaya...kuna demu mmoja alikutana nae kwenye ndg jina namuhifadhi demu alikua anaenda msalani...jamaa kamind kijitako...akamtokea..wakaanza kugegedana mahotel mbali mbali mpk leo..ukimuona huyo demu mmhhh...utasema huyu mwanaume vipi...vihips na tako vimemchanganya...shamless man
Kabla ya kuolewa faraja angeuliza kwanza backgound ya Nyarandu, Nyarandu ni dhaifu kwa wanawake, namfahamu tangu akiwa raisi wetu wa UKWATA 90's
Kabla ya kuolewa faraja angeuliza kwanza backgound ya Nyarandu, Nyarandu ni dhaifu kwa wanawake, namfahamu tangu akiwa raisi wetu wa UKWATA 90's
Awe mnyaturu,au mnyiramba au mdigo au muha who cares??muhimu tu huyu hawezi kuwa rais wa Tz ...cv yake ni mbovu ona sasa anazaa na msanii "cha Wote" ...akina Jack pemba wawe walishare na rais wa TZ...nooo ....aibu...only in bongo.Acha uongo na kujifanya mjuaji
Nyalandu mnyaturu
Faraja Mdigo
Nyalandu mbunge wa Singida Kaskazini