beefinjector
JF-Expert Member
- Jul 23, 2009
- 2,458
- 2,496
Yeah mm najua hili tangu 2013 na kila mtu yupo na mwanaume wake!
Fafanua hapo kwenye red vizuri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah mm najua hili tangu 2013 na kila mtu yupo na mwanaume wake!
Faraja ndo mnyiramba! Sasa imekuwaje mnyaturu akawa mbunge wa Iramba? Si kwa wanyiramba kule?
Nyalandu na yale macho yake!!! As if mtakatiiifuuu kumbe nae yumo kwenye sketieee ..
Fafanua hapo kwenye red vizuri.
Huo ndio ufafanuzi ndg, jiongeze kidogo2 utanielewa
​Aunty Ezekiel sijui anajifungua lini???
Acha uongo ina maana na Lazaro nae ana mwanaume wake?
​kwa huyo sperm za masikini kweli haishiki hata ikishika ataitoa tu ila kwa sperm za weneye nazo kama Nyalandu imeshikaHuyu mbona aliojiwaga kwenye Tv flani hapa bongo akasema mimba haishiki coz alipataga shida mimba ikamtoka baasi ndio sasa haishiki tena au ilikuwa zuuga???
Kabla ya kuolewa faraja angeuliza kwanza backgound ya Nyarandu, Nyarandu ni dhaifu kwa wanawake, namfahamu tangu akiwa raisi wetu wa UKWATA 90's
Acha uongo ina maana na Lazaro nae ana mwanaume wake?
Mambo ya ndoa zenu nani anq discuss.ukiona mtu anapenda kuongela mambo ya wengine hasa ya mahusiano huyo anaona wivu
Faraja hana jeuri ya kumuacha muheshimiwa hata robo. Ni wale watu wa SHOW BUSINESS bora hata ateseke lakini aonekane kaolewa. Mnyiramba yule na si unajua wanyiramba kwa kupnda ndoa hawana mpinzani? Nyalandu hata fanyaje Faraja haachii ngazi pale.
Ha ha ha mwanaume akitaka kuoa una amini ameacha yote na ameamua kukuoa ww
Tena unajiona wewe ndio uliyependwa zaidi maana unaamini wote wameachwa kisa wewe
Muulizeni na yeye Faraja kilichompeleka UK miezi michache kabla ya kufunga ndoa ni nini?