Ndoa ya miaka 24 yavunjika baada ya mume kutambua watoto watatu sio damu yake


Nakuelewa kuwafanyia watoto mbaya sio solution, but at the same time kukaa kwenye nyumba ya hivyo sio healthy, sidhani Kama kuna amani tena,the choice is his. Kama anaona hawezi asepe tu, ndoa ishaingia mdudu Hata kusex na mkeo utaona kinyaa, ukifikiria uovu wake.. Kumbuka swala sio watoto wa nje, watu wanaolewa hadi na watoto 5 wa nje, na wababa wanalea watoto wa kambo, sema uhusiano wao haukuwa open kila mtu ajue mwenzake anachukuliaje uhusiano wao. Kuwa na watoto 3 ni Kama alikua anashare na mwenzie all along, kumfanya baba wa watu afeel guilty nini sikumfanyia huyu mwanamke? Kwa kweli NO, kukaa katika mazingira depressing namna hio no, mwacheni baba wa watu apumue.....

Hayo madoli, ku adopt ni choice ya mtu ila lengo ni kuacha mbegu yako duniani
 
Poleni sana. Iwe kawaida kama ambavyo nyie waume mnazaa nje ya ndoa na mnaona ni kawaida. Hata iweje lkn ukweli ndo huo mnaumia na mtaendelea kugongewa nje kama kawa, hata mchukue hatua ya kuua wake zenu lakini haitabadilisha kitu, malipo ni hapa hapa duniani.
 
Duh...Ila DNA imeleta mambo ikiwa ni ppamoja na kuumbuliwa kwa wanaume ambao hawana uwezo wa kutungisha mimba.
 

Mbona we umeona kama huy mama kafanya kisasi ?
Kwani kila ke anaezaa nje ya ndoa mumewe nae ana mtoto nje ? If not kwanini tumkandie jamaa kwa makosa ya wanaume wengine,

"Na mtaendelea kugongewa nje kama kawa " There is something wrong with you am sure
 
Mama amefanya kisasi kwa niaba ya wanawake wengine. Halafu mimi sijamkandia huyo mume..atajua mwenyewe mi hata hayanihusu.
Tatizo..may be ninalo.
 
Mama amefanya kisasi kwa niaba ya wanawake wengine. Halafu mimi sijamkandia huyo mume..atajua mwenyewe mi hata hayanihusu.
Tatizo..may be ninalo.

Hapo Mume wake ana hatia gan ?

Na hapo hakuna akili sasa
Wewe mumeo akizaa nje na wewe ndio upeleke papuchi ukazae nje

Hio ndio Maana ya visasi bibie
Moto kwa Moto, barafu kwa barafu

Problem gan hilo nipange [emoji3][emoji3]
 
Hapo Mume wake ana hatia gan ?

Na hapo hakuna akili sasa
Wewe mumeo akizaa nje na wewe ndio upeleke papuchi ukazae nje

Hio ndio Maana ya visasi bibie
Moto kwa Moto, barafu kwa barafu

Problem gan hilo nipange [emoji3][emoji3]
Nani unamzungumzia katoka nje kwasababu mume kazaa nje? Najaribu tu kukueleza kuwa ingekuwa ni mume ndo katoka nje kazaa watoto wote hao isingekuwa big deal, na mke angeambiwa avumilie awalee watoto.
Na hii muone sawa pia..bado mtaendelea kulea watoto wa wanaume wenzenu hata mkilalamika na kupinga kwa kiasi gani lakini mtachapiwa tu.
 

Kwani unataka kushindana na Sisi Wanaume ? ? Saa utaweza aisee ?[emoji28]

Yani wewe [emoji23][emoji23]
unaonekana unapenda kweli dunia iwe chakalamu yani vulu vululu huyu kazaa kule, huyu kazaa na yule....Haya Aisee chalii angu
 
Kwani unataka kushindana na Sisi Wanaume ? ? Saa utaweza aisee ?[emoji28]

Yani wewe [emoji23][emoji23]
unaonekana unapenda kweli dunia iwe chakalamu yani vulu vululu huyu kazaa kule, huyu kazaa na yule....Haya Aisee chalii angu

Wala sishindani ila kiukweli cha Moto mnakiona sasa hivi, dunia imeshakuwa vuluvulu bado tu hujaona? Yajayo sio mazuri hata kidogo
 
Ukishaoa habari za kuchunguzana zinakufa.

Huyu kajitakia mwenyewe,bila kuchunguza angeishi fresh na huyu mama alikuwa tayari kutunza siri.

Akiwa katoka nje ya ndoa wewe haikuhusu muhimu kaleta watoto ndani na watoto wanajua wewe ni baba fresh
 
Ndiyo maana tukasema yanazungumzika, umenisikia!??? Mbona unarudia mlemle nilichosema kwamba ni choice yake kuwalea!??? Yaani kawalea miaka yote hiyo, ashindwe hapo mwishoni!??? Pls mature kidogo basi akilini. It is not rocket [emoji573] science, sawa!???
 
Hapa nchini hawawezi kuzingua kupima DNA , wazenguaji ni wahusika wenyewe.

Ukifuata procedure unapima na majibu ni 21 days.
 
Watu wameshaandika humu kuhusu vikwazo hivyo na baadhi kuamua kwenda Nairobi.
Hapa nchini hawawezi kuzingua kupima DNA , wazenguaji ni wahusika wenyewe.

Ukifuata procedure unapima na majibu ni 21 days.
 
Kuna ile nyimbo wanasema magari na nyumba nirudishe....
Dah...
Pagumu kweli
 
Watu wameshaandika humu kuhusu vikwazo hivyo na baadhi kuamua kwenda Nairobi.
Hakuna vikwazo vyovyote mkuu,

Ukitumia mwanasheria unafanya Bila tatizo lolote,

Mwanasheria anachotakiwa kufanya ni kuandika barua tu ikiwa na majina kamili ya Baba, Mama na Mtoto akieleza sababu za kupima DNA,

Atakwenda na wateja wake ofisi ya Mkemia mkuu, ipo karibu na Ikulu ya Magogoni ,

Watapewa control number, watalipia fee ni laki moja kwa Kila mtu na wanatakiwa kupimwa wote (baba,mama na mtoto).

Watajaza fomu, (baba,mama,mtoto kama no mdogo Sana mzazi atajaza, na wakili atajaza viapo vyao).

Vipimo vitachukuliwa mbele ya Wakili,

Wakili atapewa namba ya vipimo.

Wakili atafahamishwa majibu baada ya siku 21.

Atakwenda kuyachukua,

Atawaita wateja wake ,

Atafungua majibu mbele yao,

Atawapa nakala za majibu,

Atabakia na Original copy.

Mchezo umekwisha.

Hakuna namna utaweza pindua matokeo, wale jamaa ni moja Kati ya Taasisi serikali inajivunia.
 
Mkuu unataka kuwabishia watu waliokwamishwa na huu urasimu? Hakuna Nchi yeyote duniani ambayo unahitaji kuwa na mwanasheria ili kuweza kufanya DNA isipokuwa Tanzania na urasimu wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…