Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Hata huyo amekomeshwa, sio jambo dogoSasa huyu si anajua na amekubali kulea semea wale unao lea bila kujua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata huyo amekomeshwa, sio jambo dogoSasa huyu si anajua na amekubali kulea semea wale unao lea bila kujua
Namwonea huruma sana mm huenda kuliko any other person. Hiyo nimesema, na ninarudia tena. Sasa mtu anakuja na idea za kuwafanyia kitu mbaya, hiyo ni akili au matope!??? Afadhali mara mia ajiaminishe kiume kwamba DNA test must in all respects be defective and delusional ili apate relief aweze kumove on. Tatizo huwa siyo tatizo hasa kama akili haijalifanya liwe tatizo. The problem is how you set your mind. Have a big picture. Wapo Watu wanaoiba ama kuwanunua watoto, wanaishi nao kama wazazi wao biologically na furaha na amani wanapata, seuze hili!???
Poleni sana. Iwe kawaida kama ambavyo nyie waume mnazaa nje ya ndoa na mnaona ni kawaida. Hata iweje lkn ukweli ndo huo mnaumia na mtaendelea kugongewa nje kama kawa, hata mchukue hatua ya kuua wake zenu lakini haitabadilisha kitu, malipo ni hapa hapa duniani.Acha kupumbazisha na kupoteza watoto wanaosoma hii thread humu,
Ukawaida unakujaje wakat unafunga ? ?
Hivi unaweza taja sababu za msingi za kumzalia nje mume ? Kama zipo
Yani Unamsifia mwanamke mwenzio kwa kuzaa nje ya ndoa ? ?
Wadau hivi ni akili hii ?? Au umekusudia kufurahisha genge tuu
AiseeAtafune wale wa kike wakwanza
Poleni sana. Iwe kawaida kama ambavyo nyie waume mnazaa nje ya ndoa na mnaona ni kawaida. Hata iweje lkn ukweli ndo huo mnaumia na mtaendelea kugongewa nje kama kawa, hata mchukue hatua ya kuua wake zenu lakini haitabadilisha kitu, malipo ni hapa hapa duniani.
Mama amefanya kisasi kwa niaba ya wanawake wengine. Halafu mimi sijamkandia huyo mume..atajua mwenyewe mi hata hayanihusu.Mbona we umeona kama huy mama kafanya kisasi ?
Kwani kila ke anaezaa nje ya ndoa mumewe nae ana mtoto nje ? If not kwanini tumkandie jamaa kwa makosa ya wanaume wengine,
"Na mtaendelea kugongewa nje kama kawa " There is something wrong with you am sure
Mama amefanya kisasi kwa niaba ya wanawake wengine. Halafu mimi sijamkandia huyo mume..atajua mwenyewe mi hata hayanihusu.
Tatizo..may be ninalo.
Nani unamzungumzia katoka nje kwasababu mume kazaa nje? Najaribu tu kukueleza kuwa ingekuwa ni mume ndo katoka nje kazaa watoto wote hao isingekuwa big deal, na mke angeambiwa avumilie awalee watoto.Hapo Mume wake ana hatia gan ?
Na hapo hakuna akili sasa
Wewe mumeo akizaa nje na wewe ndio upeleke papuchi ukazae nje
Hio ndio Maana ya visasi bibie
Moto kwa Moto, barafu kwa barafu
Problem gan hilo nipange [emoji3][emoji3]
Nani unamzungumzia katoka nje kwasababu mume kazaa nje?
Najaribu tu kukueleza kuwa ingekuwa ni mume ndo katoka nje kazaa watoto wote hao isingekuwa big deal, na mke angeambiwa avumilie awalee watoto.Mama amefanya kisasi kwa niaba ya wanawake wengine.
Na hii muone sawa pia..bado mtaendelea kulea watoto wa wanaume wenzenu hata mkilalamika na kupinga kwa kiasi gani lakini mtachapiwa tu.
Kwani unataka kushindana na Sisi Wanaume ? ? Saa utaweza aisee ?[emoji28]
Yani wewe [emoji23][emoji23]
unaonekana unapenda kweli dunia iwe chakalamu yani vulu vululu huyu kazaa kule, huyu kazaa na yule....Haya Aisee chalii angu
Ukishaoa habari za kuchunguzana zinakufa.Soma hiii 👇👇👇👇
""Mtumiaji mmoja wa mtandao wa Twitter, Julius Mmasi kutoka Kenya ameweka wazi jinsi rafiki yake alivyovunja ndoa yake iliyodumu kwa muda miaka 24 baada tu ya bwana huyo kuamua kwenda kufanya vipimo vya DNA vya watoto wake wanne na matokeo kuonyesha watoto watatu wa mwanzo si wake.
Vipimo hivyo vilibainisha kuwa mtoto mmoja wa kiume ambaye ni wa mwisho peke yake ndiye mtoto halali wa mwanaume huyo na mabinti watatu wakiwa si watoto wake wa damu. Baadaye mke wake alithibitisha hilo akidai mabinti hao ni watoto wa bosi wake.""
Endeleeni kupenda mateso hayaa....
Ila chakuelewa hapo iliyosababisha yotee hapo ni PESA.
Bosi anatoa mawe anapewa papuchi.
TAFUTA HELA KIJANA.
#YNWA
Ndiyo maana tukasema yanazungumzika, umenisikia!??? Mbona unarudia mlemle nilichosema kwamba ni choice yake kuwalea!??? Yaani kawalea miaka yote hiyo, ashindwe hapo mwishoni!??? Pls mature kidogo basi akilini. It is not rocket [emoji573] science, sawa!???Nakuelewa kuwafanyia watoto mbaya sio solution, but at the same time kukaa kwenye nyumba ya hivyo sio healthy, sidhani Kama kuna amani tena,the choice is his. Kama anaona hawezi asepe tu, ndoa ishaingia mdudu Hata kusex na mkeo utaona kinyaa, ukifikiria uovu wake.. Kumbuka swala sio watoto wa nje, watu wanaolewa hadi na watoto 5 wa nje, na wababa wanalea watoto wa kambo, sema uhusiano wao haukuwa open kila mtu ajue mwenzake anachukuliaje uhusiano wao. Kuwa na watoto 3 ni Kama alikua anashare na mwenzie all along, kumfanya baba wa watu afeel guilty nini sikumfanyia huyu mwanamke? Kwa kweli NO, kukaa katika mazingira depressing namna hio no, mwacheni baba wa watu apumue.....
Hayo madoli, ku adopt ni choice ya mtu ila lengo ni kuacha mbegu yako duniani
Inawezekana mkuu , unajua wazee wana siri kubwa mnoo😀Itakua ndg yng ww!
Hapa nchini hawawezi kuzingua kupima DNA , wazenguaji ni wahusika wenyewe.DNA ni mkombozi mkubwa kwa ME ule upuuzi wa mwaka 47 kitanda hakizai haramu sasa umebaki kuwa ni upuuzi tu. Machale yakikucheza talk to DNA ukiona hapa Nchini wanazingua hapo kwa jirani zetu Nairobi watakusaidia bila hiyana. The TRUTH will always set you free.
Hapa nchini hawawezi kuzingua kupima DNA , wazenguaji ni wahusika wenyewe.
Ukifuata procedure unapima na majibu ni 21 days.
Kuna ile nyimbo wanasema magari na nyumba nirudishe....Mimi ilitokea kwa kaka yetu mtoto wa bamkubwa. Mtoto wake wa nne akiwa form four sijui walikosana nini mtoto akachukia akaropoka akasema baba ake ni mdosi Shirika fulani kubwa na ndio anagharamia miradi yote hapo home [emoji15] ndugu yetu karibia aanguke ndio akauliza mke akakataa lakini alivyobanwa akasema ukweli. Wako na watoto 6 ila huyo wa 4 sio wake. Ndugu yetu alikuwa hamjali sana mke wake ndio mke akadanganyika huko nje.
Ila leo hii watoto wote wamekuwa wakubwa ila huyu wa nje ndio mwenye hela kuliko wote na ndio amekuwa msaada sana kwa baba ake alimyelea mana ndugu yetu hakumfukuza leo hii hata tukiwa na shughuli za ukooo huyu kijana wa nje ndio mwepesi kuja na kuchangia na anajitoa sana kuliko hatavwale biologichal children. So for us wanafamilia huyu mtoto kwetu amekuwa faraja.
Hakuna vikwazo vyovyote mkuu,Watu wameshaandika humu kuhusu vikwazo hivyo na baadhi kuamua kwenda Nairobi.
Hakuna vikwazo vyovyote mkuu,
Ukitumia mwanasheria unafanya Bila tatizo lolote,
Mwanasheria anachotakiwa kufanya ni kuandika barua tu ikiwa na majina kamili ya Baba, Mama na Mtoto akieleza sababu za kupima DNA,
Atakwenda na wateja wake ofisi ya Mkemia mkuu, ipo karibu na Ikulu ya Magogoni ,
Watapewa control number, watalipia fee ni laki moja kwa Kila mtu na wanatakiwa kupimwa wote (baba,mama na mtoto).
Watajaza fomu, (baba,mama,mtoto kama no mdogo Sana mzazi atajaza, na wakili atajaza viapo vyao).
Vipimo vitachukuliwa mbele ya Wakili,
Wakili atapewa namba ya vipimo.
Wakili atafahamishwa majibu baada ya siku 21.
Atakwenda kuyachukua,
Atawaita wateja wake ,
Atafungua majibu mbele yao,
Atawapa nakala za majibu,
Atabakia na Original copy.
Mchezo umekwisha.
Hakuna namna utaweza pindua matokeo, wale jamaa ni moja Kati ya Taasisi serikali inajivunia.