Ambivert88
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 3,609
- 6,388
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa Mkuu Mimi nakubariana na Wewe asilimia zoteHii imani ya Kiyahudi (ukristu) ndio iliyoleta haya mambo ya mke mmoja. Ni unafiki uliokubuhu, mke mmoja ila nyumba ndogo nyingi.
Vitisho vya kutengwa na ukifa hatuziki vinafanya watu waache tamaduni zao za asiliUmeacha utamaduni wa kabila lako ambalo naamini linaruhusu kuoa wake zaidi ya mmoja na kuamua kufuata utamaduni wa wayahudi na wazungu (utumwa wa dini) wanaotaka uoe mke mmoja.
Sasa, yanini lawama?
Si uachane nao tu? Au unaogopa vile vitisho hewa vya kuchomwa moto na lile lijitu lao katili?
Sawa Ila usisahau hakuna Mwanaume mwenye Mwanamke mmoja anaemtosheleza kinyumba Duniani huyo hayupo na km yupo basi kuna mawili aidha ni kichaa au ana matatizo ya afya ya akiliNi kweli single mom wanatia huruma yaani imefika hatua wako tayari hata kuolewa na wazee!
Lakini hakuna ndoa yenye raha kama ndoa ya mke mmoja!
Duuuuh sasa itakuaje Ila kwa mujibu wa huyu bibie yeye ni Mwanaume mmoja Ila aongeze na Mwanamke mwingine wa kumpiga tafu si unajua Mwanaume asije siku kabaniwa akaishia kupiga nyeto au kuzua ugomvi yanini yote hayo? Kwanini asiwe na Mwanamke mwingine wa kumliwadha?Ajabu wanawake nao wanataka haki sawa. Mkeo amiliki wanaume hata 6.
Nipo nyumbani kwanguUko wapi kwani......
Karibu sana usiishie barazani ingia mpaka ndaniNimeishia hapo.
CCM MITANOO TENA.
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Umesema nyege binafsi? Au nimesoma vibaya?Unaisingizia CCM bure.Nyege binafsi hazimilikiwi na chama chochote kiwe cha siasa au cha kuweka na kukopa.
Unakuja kuelekea wapi?Niko njiani nakuja, nikukute wapi?😄😆
Umetoka kuelekea wapi?Ungepiga simu kwanza nimetoka 🤣🤣🤣
Babu yangu yaan the great great great grandfather alikua nao 25+ alikua anamiliki kijiji ukifika huko Bush unaambiwa hiki ndio kijiji cha Babu yako uzao huu wote unaouona hapa ni wa Babu yako alikua na wake zaidi ya 25+ na Wote alikua anawahudumia na mpaka sasa maeneo yamebakia ukifika kifukuu cha kifukuu cha Babu wa Babu unakamatishwa eneo lima hapa ni kwenuMaisha ni kuchagua, kwanini ukaoe mmoja kama hujaridhika?
Wewe kwani hapo zamani kabla kuletewa hizi Dini zilizoletwa na majahazi waliwezaje na wao ndio walikua wachache kuliko sasa?mmejipanga kukabiliana na upungufu wa wanawake kama wanaume watoaa mke zaidi ya mmoja.
sio kuleta roporopo tu Tanzania wanaume 30m wanawawake 31m chek ratio hiyo
Sio kweli Mwanaume hatosheki na Mwanamke mmoja Mwanaume anaetosheka na Mwanamke mmoja ana tatizo km sio kisukari basi presha ya kupanda na kushukamwanaume mmoja ameumbiwa mwanamke mmoja
ndo maana idadi ya wanawake duniani na idadi ya wanaume ni almost sawa miaka yote
Yaan hapo na Wewe ndio unaona umemaliza? Hapa wanazingumziwa Wanaume sio wavulanaKwa wanaume gan hawa hawa 🤣🤣🤣 wanaume ngoja niwapasue ukwel saiv hamna lolote nguvu hamna tunawaonea huruma tu puuuuuuuuuh....
.
Hela sasa ndo mamaaaaaaa🤣🤣🤣🤣
Toka moyoni au unatania? Kwanini unataka iwe hivo?Nakubaliana na huyo single mom., Mwenyewe mathna naitaka tusaidiane kupigwa miti.
Unajidanganya kabisa! Jaribu kuongea na wahusika wenyewe wakwambie ni ndoa ipi angalau imetulia - ya mke mmoja au wengi? Je, umeongea pia na wake wengi walioolewa wakakwambia wana amani na wametulia? Usiangalie tu "huo ukatili unaousema, bali pia uhalisia" (to be realistic). Kama ndoa ya mke mmoja tu kuna michepuko, ndoa ya wake wingi je? Ila kwa kujidanganya, mwanaume yeye ndiye anayedhani ametulia kwa vile ana wake wengi, lakini hafikirii upande ule mwingine. Anadhani (anafikiri kwa niaba yao kwamba kama yeye ametulia kwa kuoa wake wanne au zaidi na wao wametulia kwa kuolewa na mume mmoja)! Utawezaje kuamua juu ya feelings za mtu mwingine au watu wengine? Sijafanya utafiti, lakini kwa wanawake ambao nimeweza kuongea nao wanaonyesha ndoa ya wake wengi michepuko ni nje nje.Shallom!
Salamu baada ya salamu niende moja kwa moja kwenye Mada. Ndoa ya Mke mmoja ni Ukatiri wa kijinsia kwa Mwanaume. Kwanini? Kwa sababu Mwanaume hakuumbwa awe na Mke mmoja.
Jana kuna Mama mmoja nilikua najadiliana nae yeye ni single mom, akawa anasema kwamba yupo tayari japo yeye ni Mkristu Ila km akibahatika kuolewa basi mumewe akimuoa atamruhusu kwa moyo mmoja awe na Mwanamke mwingine wa pili yaan wawe wawili anaemsaidia kulinda Ndoa kwa sharti moja tu huyu Mwanaume amtambulishe huyo Mwanamke mwingine kwa Mwanamke wake wa Ndoa na yeye yupo tayari kukubari Ila tu asiwe na wanawake wengine zaidi ya hao wawili.
Akafika mbali na kuzisifia sana Ndoa za kiislamu. Kwamba Waislamu wanaanza wake wawili mpaka wanne. Hukuti Mwanaume wa kiislamu akinyanyaswa
Haya nyinyi hapa Jamvini mnasemaje kweli Ndoa hizi za mke mmoja zinamkatiri sana Mwanaume kijinsia? Yaan Mwanaume inatakiwa kimaumbile amiriki walau wanawake wawili iila sio Mwanamke mmoja, nyinyi mnasemaje?
Sahihi mkuu.Umesema nyege binafsi? Au nimesoma vibaya?