Ndoa ya Mke Mmoja ni Ukatiri wa Kijinsia kwa Mwanaume

Ndoa ya Mke Mmoja ni Ukatiri wa Kijinsia kwa Mwanaume

Babu yangu yaan the great great great grandfather alikua nao 25+ alikua anamiliki kijiji ukifika huko Bush unaambiwa hiki ndio kijiji cha Babu yako uzao huu wote unaouona hapa ni wa Babu yako alikua na wake zaidi ya 25+ na Wote alikua anawahudumia na mpaka sasa maeneo yamebakia ukifika kifukuu cha kifukuu cha Babu wa Babu unakamatishwa eneo lima hapa ni kwenu
Huu ndo unyama sasa
 
Vitisho vya kutengwa na ukifa hatuziki vinafanya watu waache tamaduni zao za asili
Inabidi tupae juu hiyo hofu.
Watu walizikwa kabla ya hizi dini kuja, na hata leo bado wanazikwa na ndugu na jamaa zao.

Kuzikwa kidini hakuna faida yoyote.
 
Inabidi tupae juu hiyo hofu.
Watu walizikwa kabla ya hizi dini kuja, na hata leo bado wanazikwa na ndugu na jamaa zao.

Kuzikwa kidini hakuna faida yoyote.
Sasa ndio hivyo alafu kuna wale Mwanamke akizaa tu kabla ya Ndoa anatengwa na kanisa na akifa wanasema hawataki kumzika
 
Utawezaje kuamua juu ya feelings za mtu mwingine au watu wengine? Sijafanya utafiti, lakini kwa wanawake ambao nimeweza kuongea nao wanaonyesha ndoa ya wake wengi michepuko ni nje nje.
Ndio sijakataa ndio maana hapo nasema kwamba kwa mujibu wa discussion yetu Mimi na huyu bibie nilikua namnyapia nilile tunda lake amesema kwamba Mwanaume kua na Mwanamke mmoja ni Ukatiri Mwanaume inabidi awe na Mwanamke zaidi ya mmoja, ushaelewa yeye akakubari na ku-suggest yupo tayari Mwanaume wake aongeze Mwanamke mwingine wa pili Ila asimfiche amwambie huyo nae pia namlala
 
Kwa wanaume gan hawa hawa 🤣🤣🤣 wanaume ngoja niwapasue ukwel saiv hamna lolote nguvu hamna tunawaonea huruma tu puuuuuuuuuh....
.

Hela sasa ndo mamaaaaaaa🤣🤣🤣🤣
Hata baba yako
 
Back
Top Bottom