Ndoa ya Mke Mmoja ni Ukatiri wa Kijinsia kwa Mwanaume

Vitisho vya kutengwa na ukifa hatuziki vinafanya watu waache tamaduni zao za asili
 
Ni kweli single mom wanatia huruma yaani imefika hatua wako tayari hata kuolewa na wazee!
Lakini hakuna ndoa yenye raha kama ndoa ya mke mmoja!
Sawa Ila usisahau hakuna Mwanaume mwenye Mwanamke mmoja anaemtosheleza kinyumba Duniani huyo hayupo na km yupo basi kuna mawili aidha ni kichaa au ana matatizo ya afya ya akili
 
Ajabu wanawake nao wanataka haki sawa. Mkeo amiliki wanaume hata 6.
Duuuuh sasa itakuaje Ila kwa mujibu wa huyu bibie yeye ni Mwanaume mmoja Ila aongeze na Mwanamke mwingine wa kumpiga tafu si unajua Mwanaume asije siku kabaniwa akaishia kupiga nyeto au kuzua ugomvi yanini yote hayo? Kwanini asiwe na Mwanamke mwingine wa kumliwadha?
 
Maisha ni kuchagua, kwanini ukaoe mmoja kama hujaridhika?
Babu yangu yaan the great great great grandfather alikua nao 25+ alikua anamiliki kijiji ukifika huko Bush unaambiwa hiki ndio kijiji cha Babu yako uzao huu wote unaouona hapa ni wa Babu yako alikua na wake zaidi ya 25+ na Wote alikua anawahudumia na mpaka sasa maeneo yamebakia ukifika kifukuu cha kifukuu cha Babu wa Babu unakamatishwa eneo lima hapa ni kwenu
 
mmejipanga kukabiliana na upungufu wa wanawake kama wanaume watoaa mke zaidi ya mmoja.
sio kuleta roporopo tu Tanzania wanaume 30m wanawawake 31m chek ratio hiyo
Wewe kwani hapo zamani kabla kuletewa hizi Dini zilizoletwa na majahazi waliwezaje na wao ndio walikua wachache kuliko sasa?
 
mwanaume mmoja ameumbiwa mwanamke mmoja

ndo maana idadi ya wanawake duniani na idadi ya wanaume ni almost sawa miaka yote
Sio kweli Mwanaume hatosheki na Mwanamke mmoja Mwanaume anaetosheka na Mwanamke mmoja ana tatizo km sio kisukari basi presha ya kupanda na kushuka
 
Kwa wanaume gan hawa hawa 🤣🤣🤣 wanaume ngoja niwapasue ukwel saiv hamna lolote nguvu hamna tunawaonea huruma tu puuuuuuuuuh....
.

Hela sasa ndo mamaaaaaaa🤣🤣🤣🤣
Yaan hapo na Wewe ndio unaona umemaliza? Hapa wanazingumziwa Wanaume sio wavulana
 
Kumiliki wanawake wengi ni kwa sababu ya tamaa tuu hata watoto wa mnyaazi mungu wenyewe japokua waliambiwa kuoa hadi wanne lakini bado wana michepuko kibao, unapeana ushauri na singo maza alafu unakuja kutupigia kelele hapa vipi wewe 🤔
 
Unajidanganya kabisa! Jaribu kuongea na wahusika wenyewe wakwambie ni ndoa ipi angalau imetulia - ya mke mmoja au wengi? Je, umeongea pia na wake wengi walioolewa wakakwambia wana amani na wametulia? Usiangalie tu "huo ukatili unaousema, bali pia uhalisia" (to be realistic). Kama ndoa ya mke mmoja tu kuna michepuko, ndoa ya wake wingi je? Ila kwa kujidanganya, mwanaume yeye ndiye anayedhani ametulia kwa vile ana wake wengi, lakini hafikirii upande ule mwingine. Anadhani (anafikiri kwa niaba yao kwamba kama yeye ametulia kwa kuoa wake wanne au zaidi na wao wametulia kwa kuolewa na mume mmoja)! Utawezaje kuamua juu ya feelings za mtu mwingine au watu wengine? Sijafanya utafiti, lakini kwa wanawake ambao nimeweza kuongea nao wanaonyesha ndoa ya wake wengi michepuko ni nje nje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…