Ndoa ya Msanii Shamsa Ford na Chid Mapenzi yavunjika rasmi

Matumizi ya vidonge vya majira ya muda mrefu pia hukimbiza uzazi. Hao wote uliowataja walizaa kabla. Hofu ya kuwa stuck na watoto kadhaa bila ndoa kama unavyosema inaweza ikawafanya watumie sindano na vidonge wakisubiri ndoa rasmi. Na ndoa ikija ndio hapo uzazi umeshakimbia. Hili tatizo hukumba wanawake wengi wanaochelewa kuolewa. Vizazi vinakuwa vimeshaoza Kwa matumizi ya vidonge/sindano kwa muda mrefu.
 
Ni kweli nimeona wote aliowataja wana watoto, nadhani wameshaonja machungu ya kulea watoto peke yao hawataki kukurupuka tena. Nimeuliza Riyama maana nilijua yule mtoto amezaa na mumewe
Anamaanisha wakiingia kwenye ndoa wagumu kuongeza watoto.

Wote aliowataja wana watoto ila kwa ndoa zao mpya hawajaongeza
 
Itakua wa mumewe(sina uhakika)
Ni kweli nimeona wote aliowataja wana watoto, nadhani wameshaonja machungu ya kulea watoto peke yao hawataki kukurupuka tena. Nimeuliza Riyama maana nilijua yule mtoto amezaa na mumewe
 
Kwa statement hii tumuombee sana Lulu
 
Ndio wanaume wa sasa walivyo wotee.
Koma ww. Hao n Wanaume takataka mnaojipenzisha nao sio sisi wengine.Maana mnata vijaume vishabaro vinavyojipoa karibia kufanana na nyie halaf bado mnataka wawe full responsiblle..haiwezekan.Ma gentle men hamtutaki wakat ndio tuna run show mnakimbilia kwa wanawake wenzenu wenye jinsia za kiume.
 
Ni kweli nimeona wote aliowataja wana watoto, nadhani wameshaonja machungu ya kulea watoto peke yao hawataki kukurupuka tena. Nimeuliza Riyama maana nilijua yule mtoto amezaa na mumewe
Mtoto wa riyama sio wa huyo ben10,
 
Siku chache baada ya ndoa bibie alisema kaolewa sababu kamuonea huruma jamaa kisa alimchuna vitu vingi

Vijana wa leo hawana mafunzo ya ndoa
Duh! Kumbe jamaa alihurumiwa tu? Kazi kweli kweli!
 

Do you actually think you will learn everything about a man before you get married to him?

Haupo serious.
 
machangu utawajua tu
 
Reactions: T11
Ndoa ya Muigizaji wa Bongo movies Shamsaford na Chidd Mapenzi imeingia doa, kisa na Mkasa Bado Hakijawekwa Wazi..

Chanzo cha habari Shamsa mwenyewe kama inavyoonekana pichaniView attachment 1099297

Hapa akimjibu shabiki wakeView attachment 1099302
Tanzania.....sasa huyu ndo nani!!!!????
Hiyo career aliyokuwa anafanya vizuri mpaka watu wengine tusimfahamu ni ipi!!??? Au ndo hiyo ya kutembeza mitumba maofisini!? Nchi hii aibu sana kwakweli.
 
Bongo movie gani inampa mtu gari? Hii ya kumuuzia muhindi movie kwa 2M!!????? Hamuwezi kuwa serious.
 
Hili nalo ni tatizo kwenye ndoa nyingi, sema na hawa ma star hawapendi kuzaa japo wanapenda kuolewa,
Angalia shilole, riyama, uwoya, sister fey hawa wote waliolewa kwa ndoa lakini waligoma kuzaa. Siamini kama wote ni uzazi.
sio kila mwanamke ni mzazi wengine ni bodi tu,mtoto wa kike akikua kidananda bila uangalizi wa wazazi kwa ukaribu ,ni ukweli usiopingika kabla ya kumaliza form four anakuwa ameshatoa mimba sita.akiolewa akakosa mtoto anaanza kusingizia wachawi,mawifi,mama mkwe na akitoka hapo anaanza figisu za kuokoka ili afiche makucha yake na mwishowe ni kumuua mwanaume ili amiliki mali.
 
Kukaa uchi ndio alikuwa anafanya vuzuri, doohh,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…