Richh Gall
Member
- Jun 13, 2017
- 48
- 106
Matumizi ya vidonge vya majira ya muda mrefu pia hukimbiza uzazi. Hao wote uliowataja walizaa kabla. Hofu ya kuwa stuck na watoto kadhaa bila ndoa kama unavyosema inaweza ikawafanya watumie sindano na vidonge wakisubiri ndoa rasmi. Na ndoa ikija ndio hapo uzazi umeshakimbia. Hili tatizo hukumba wanawake wengi wanaochelewa kuolewa. Vizazi vinakuwa vimeshaoza Kwa matumizi ya vidonge/sindano kwa muda mrefu.Hata angezaa people would still find fault why amezaa.
Am speaking as a woman, huenda anapoingia ndani ya ndoa her intuition spoke to her to chill out na asikimbilie kuzaa. Either that or simply hakushika ujauzito.
Wanasemaga once bitten, twice shy. Picture being single again, stuck with another child.