Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Ile habari ya msanii shetta kulala chumba kimoja na rose ndauka uko morogoro imevunja Ndoa na mke ameondoka rasmi na amekataa zawadi ya gari..
========
Ndoa ya Shetta imevunjika…. Mke wake kakataa pia hii zawadi aliyopewa.
Usambazaji wa picha kwenye mitandao siku hizi umekua na nguvu kubwa sana, picha inaweza kusambazwa ndani ya dakika 20 ikabadilisha mambo mengi sana kwenye maisha tunayoishi.
Nakukutanisha na msanii wa bongofleva Shetta ambaye alikuja kwenye studio za Millard Ayo na kukubali kuweka wazi kuhusu kuvunjika kwa ndoa yake ambayo haina hata miaka mitano.Unataka kuona alichosema kuanzia mwanzo mpaka mwisho? unataka kuona picha ya zawadi aliyomnunulia mke wake na bado akaikataa?
Tazama video hii hapa;
Chanzo: MillardAyo

Last edited by a moderator: