Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Jamaa yuko vizuri halafu nilikuwa sijawahi kumsikia kabisa. Ana gems za hatari. Hebu tupia na wengine maana hizi nyimbo nyingine huwezi kukaa ukaangalia na wanao bora kuangalia hizi qaswida.
Kabisa. Mimi ninazo nyingi sana acha tu.
Sasa hivi niko busy subiri nikipata muda nitawaletea nyingine.
Usiogope bibie nifah ,kwani wewe sio mtoto wa Pwani??!! hujawahi kufika Tanga??!!
Haya nakusubiri uje inshaallah yuone hizo neema za Allah utazojaaliwa na kujijaalia!!
Hahahaaa,InshaAllah tuombe kheri nitakuja kuongeza list mkuu.
Last edited by a moderator: