Ndoa ya msanii Shetta na mke wake yavunjika, chanzo ni Rose Ndauka

Ndoa ya msanii Shetta na mke wake yavunjika, chanzo ni Rose Ndauka

Dats how it z,yan hii bongo muv cjui nan aliacha ameilaan af akafa mana kla ck ina vimbwanga vpya cjui ntaingiaje kwny chama hili ila bc 2 mrad najua nachofanya so ntakua mwangalif sana,ee Mungu nisaidie

Nawewe kumbe mbongo movie?
Mhuu....umasikini bai bai.
 
Sio shetta wala mkewe wote ni malaya tu.Tena mkewe ndio kazidi sijui huyo shetta alikua anamng'ang'ania nini!
Mume akienda kufanya show mke naye anaenda kufanya show na michepuko,uchafu mtupu!

Wee😱
Sasa ndo anasusa? Ndoa si lele mama.
 
..jama analamba sana midomo!!....ndio pose za kibono fleva....

:focus:.....teh teh..mark x imefail kurudisha penzi....
ila kwa body language...Shetta anaonekana dhamira kumsuta....
 
Ukiona hivyo ujue hili jianaume shettah halibebekii...utakuta hili siyo kosa lake la kwanza...mke kavumilia kachoka sasa analia lia na media...haihusuuu
 
huwezi amini, i have felt pity for this hoodlum.
 
Pia inafanana na nyimbo flani hivi ya kina Davido inaitwa gallardo. Yaani mtiririko wa ni the same! Sijui nani kamuiga mwenzie

Shetta ndiye aliyeiga maana huo wimbo wa gallardo umetoka muda tu kama mwaka na nusu sasa.
 
hii tabia ya wanandoa fkukwazana wanakimbilia kwenye media ni usengeree kabisa
 
Shetta ndiye aliyeiga maana huo wimbo wa gallardo umetoka muda tu kama mwaka na nusu sasa.

Best fanya kunitumia namba z mkewe w sheta mana atanifaa sana huyo ugomvi tu anakimbia mume
 
Back
Top Bottom