Mama Qaillah kakolezwa na michepuko mama wala usiumize kichwa kuhusu hili.
Dats how it z,yan hii bongo muv cjui nan aliacha ameilaan af akafa mana kla ck ina vimbwanga vpya cjui ntaingiaje kwny chama hili ila bc 2 mrad najua nachofanya so ntakua mwangalif sana,ee Mungu nisaidie
Sio shetta wala mkewe wote ni malaya tu.Tena mkewe ndio kazidi sijui huyo shetta alikua anamng'ang'ania nini!
Mume akienda kufanya show mke naye anaenda kufanya show na michepuko,uchafu mtupu!
Nawewe kumbe mbongo movie?
Mhuu....umasikini bai bai.
Nami nilihisi tuuu looo
Wee😱
Sasa ndo anasusa? Ndoa si lele mama.
Ndoa za kiislamu bwana hazinaga dhamana kitu kidogo mtu anasepa
Hahahaaa!Huu wimbo kanikera tu alivyoiga lile beat la wanaija.
Pia inafanana na nyimbo flani hivi ya kina Davido inaitwa gallardo. Yaani mtiririko wa ni the same! Sijui nani kamuiga mwenzie
Mwenzangu mie ningechukua mark x kwanza nisepe zangu.
Weè kanda maalumu njo uokoe ndoa ya mwanao huku.
Mzee machache anatoa vipi?
Shetta ndiye aliyeiga maana huo wimbo wa gallardo umetoka muda tu kama mwaka na nusu sasa.