Ndoa ya msanii Shetta na mke wake yavunjika, chanzo ni Rose Ndauka

Dats how it z,yan hii bongo muv cjui nan aliacha ameilaan af akafa mana kla ck ina vimbwanga vpya cjui ntaingiaje kwny chama hili ila bc 2 mrad najua nachofanya so ntakua mwangalif sana,ee Mungu nisaidie

Humu kungekuwa na Mzee Kifimbo Cheza hakika wewe usingesalimika!
 
This boy hayupo serious hajakuwa haonyeshwi kuumia wala kujali sasa hili ni tatizo inabidi apate washaur wazuri
 
Dats how it z,yan hii bongo muv cjui nan aliacha ameilaan af akafa mana kla ck ina vimbwanga vpya cjui ntaingiaje kwny chama hili ila bc 2 mrad najua nachofanya so ntakua mwangalif sana,ee Mungu nisaidie

Humu kungekuwa na Mzee Kifimbo Cheza hakika wewe usingesalimika!
 

Juzi nilianika umalaya wake hapa mods wakafuta comments zangu.
Huyu mwanamke ni hatari aisee.
 
Alafu haka kajamaa kanasurvive kwenye game kiujanja ujanja tu, yaani ubunifu zero kabisa!
Siku Kiba akiacha kuimba nitafuta nyimbo za miziki yote niliyonayo nibakize Kwaya pekee na Qaswida za Arafa!

Hahahaaa,yaani tupo sawa mimi na wewe basi tu.
Bado kuna huyo kaka anaitwa Maher Zain Qaswida zake ni tamu zaidi ya halua!
 
Juzi nilianika umalaya wake hapa mods wakafuta comments zangu.
Huyu mwanamke ni hatari aisee.

Lini hyo? Mi namjua vizur, mwanamke anakitombesha yule, halafu ana shida sana yule, ukimuona mumewe anavyojishaua mitandaoni wakat mkewe anagongwa ili apawe elfu hamsini, yani pale hamna kitu bora tu aoe mwingine, leila ni kiboko jaman kwa wanaume, na wamekutana baba kitombi mama kitombwi
 

Ndoa nyingine bwana zinachekesha sana.Sasa wanaishi ili iweje? Na huyo sheta ni hana pesa au nini jamani? Kwanini asimpe mke wake?
Ila binamu ni bora shetta kuliko mkewe kwa umalaya.
 
Ndoa nyingine bwana zinachekesha sana.Sasa wanaishi ili iweje? Na huyo sheta ni hana pesa au nini jamani? Kwanini asimpe mke wake?
Ila binamu ni bora shetta kuliko mkewe kwa umalaya.

Bwana ake akiwa mkoani kwenye show bibie nyuma uku anakitembeza kwa wanaume, mimi nashindwa kuelewa huyo sheta anavyojishau mitandaoni wakat mke wake ata vocha anaomba inakuwaje? Yani mke wake anaishi maisha magumu hatar, mumewe kutwa yupo na Harrier ya mkopo mkewe ndo anasugua gaga mpaka anakoma.

KWa hyo anavyotaka kumpa mkewe gari ina maana ni kweli alilala na rose ndo maana anaomba msamaha? Kama kweli hajalala nae kwa nini amuombe msamaha na kumpa gari? Haya maukimwi mhh, rose nae umalaya utamuaa ndoa yake imemshinda anavamia vya watu
 
Uwiiiii! warumi umemaliza yote.Kweli wewe ni mbea aliyeshindikana E.A nzima aisee...
Juzi nilisema hivihivi nashangaa mods wakafuta comment yangu!
Waje wafute na hii basi maana wanadhani hili jambo halijulikani au ni uongo tunampakazia huyo shetta na mkewe.
 
Last edited by a moderator:

Aah!! Watupishe na wao kwani uongo? Huyo sheta amtunze mke wake aache kuhangaika ovyo, khaa!! Mke wake ukimuona ni mzuri sema matunzo hana, kwa upande mwingine ana haki ya kuondoka, yani sheta hamjali mke wake kabisaa, siku zote alishindwa kumnunulia gari? Hawa wasanii sio wa kukimbilia kuolewa nao ni stress tu
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa,yaani tupo sawa mimi na wewe basi tu.Bado kuna huyo kaka anaitwa Maher Zain Qaswida zake ni tamu zaidi ya halua!
Mie kuna Qaswida nazipenda japo sometimes sielewagi kinachoimbwa hasa wakikoleza lugha.Nitajie album ya huyo kaka, huwa naenjoy sana basi tu kiislam sikijui.
 
Mie kuna Qaswida nazipenda japo sometimes sielewagi kinachoimbwa hasa wakikoleza lugha.Nitajie album ya huyo kaka, huwa naenjoy sana basi tu kiislam sikijui.

Dah,albam zake sizijui zaidi ya kudownload nyimbo zake tu.
Ninazo kibaaaao kwa device yangu.Sasa fanya hivi...search Maher Zain watakuletea na nyimbo zake.Au wasipokuletea ngoja nikupe list ya nizipendazo halafu uzipakue.
1.For the rest of my life (huu kamuimbia mkewe utaipenda mama)
2.Ya Nabii Salam Alayka
3.Assalam alayka
4.Inshaallah
5.Ramadan.
Zote hakikisha unadownload Arabic version.Ukimaliza unipe feedback halafu kama ukizipenda sana niongeze.
 
Jamani mbona wasanii wetu wanapenda kuchepuka hovyo na wasanii wenzao wakati wana wake zao na matokeo yake wanavunja ndoa zao,mfano mzuri hii ishu ya SHETA kutoka na msanii wa kike kule Morogoro,na kuna tetesi kuwa ameachana na wife wake kisa huo mchepuko. hivi hawa wasanii wetu wanaugonjwa gani? au ndio mambo ya MAHABA NIUE?
 

Bibie nifah,tafadhali endeleza Qaswida nyingine nzuri,hizo hapo juu tayari nimeshazipakua!!
 
Last edited by a moderator:
Bibie nifah,tafadhali endeleza Qaswida nyingine nzuri,hizo hapo juu tayari nimeshazipakua!!

Ningeendeleza mkuu kipumbwi lakini hii ID yako imenitisha kwanza.
Subiri nitarudi baadae Inshaallah!
 
Last edited by a moderator:
..jama analamba sana midomo!!....ndio pose za kibono fleva....

:focus:.....teh teh..mark x imefail kurudisha penzi....
ila kwa body language...Shetta anaonekana dhamira kumsuta....
Dogo body language inampoteza kabisa. Yaani huitaji hata kuambiwa.
 
Jamaa yuko vizuri halafu nilikuwa sijawahi kumsikia kabisa. Ana gems za hatari. Hebu tupia na wengine maana hizi nyimbo nyingine huwezi kukaa ukaangalia na wanao bora kuangalia hizi qaswida.
 
Huyu Shetta ni kutafuta kick kama wenzie hakuna cha zaidi..!
 
Ningeendeleza mkuu kipumbwi lakini hii ID yako imenitisha kwanza.
Subiri nitarudi baadae Inshaallah!

Usiogope bibie nifah ,kwani wewe sio mtoto wa Pwani??!! hujawahi kufika Tanga??!!

Haya nakusubiri uje inshaallah yuone hizo neema za Allah utazojaaliwa na kujijaalia!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…