Jamaa yuko vizuri halafu nilikuwa sijawahi kumsikia kabisa. Ana gems za hatari. Hebu tupia na wengine maana hizi nyimbo nyingine huwezi kukaa ukaangalia na wanao bora kuangalia hizi qaswida.
Usiogope bibie nifah ,kwani wewe sio mtoto wa Pwani??!! hujawahi kufika Tanga??!!
Haya nakusubiri uje inshaallah yuone hizo neema za Allah utazojaaliwa na kujijaalia!!
Kabisa. Mimi ninazo nyingi sana acha tu.
Sasa hivi niko busy subiri nikipata muda nitawaletea nyingine.
Hahahaaa,InshaAllah tuombe kheri nitakuja kuongeza list mkuu.
Abaki nayo gari Yake kwani gari kitu gani, anamfikicha mwenzie roho bila sababu... Muone sura Yake .. Anajiramba ramba kamaa mbuzi...
Dah,albam zake sizijui zaidi ya kudownload nyimbo zake tu.
Ninazo kibaaaao kwa device yangu.Sasa fanya hivi...search Maher Zain watakuletea na nyimbo zake.Au wasipokuletea ngoja nikupe list ya nizipendazo halafu uzipakue.
1.For the rest of my life (huu kamuimbia mkewe utaipenda mama)
2.Ya Nabii Salam Alayka
3.Assalam alayka
4.Inshaallah
5.Ramadan.
Zote hakikisha unadownload Arabic version.Ukimaliza unipe feedback halafu kama ukizipenda sana niongeze.
sheta anaimbaga nini?
Anapiga kelele tu hata kwenye list ya waimbaji hayupo!!
Huyu mtoto wa kamanda wa kanda Maalumu Dsm hajielewi...hatunzi kabisa kbisa mkewe,mimi kuna demu rafiki yake sana huyo Mama Kaila sijui...alinipa story zake,hapo hapo akampigia akamwambia nimepata bwana wa kukuhonga nimpe namba yako??huwezi amini...demu mzuri nilipokutana nae,lkn unamla kwa 50 tu....Nafikiri kunguru hafugiki