Ndoa ya mtangazaji mkongwe Betty Mkwasa na Charles Boniface Mkwasa “Master” yafikisha miaka 35, wapo imara na wanasonga mbele

Watupe Siri ya mafanikio
Ni uvumilivu tu. Na hasa kutoka kwa jamaa yangu Charles! Maana enzi zile Mh. Ngoyai alipokuwa PM, halafu shemeji yetu akateuliwa na JK kuwa Mh. DC! Aisee mambo hayakuwa mepesi hata kidogo. Maana tetesi zilikuwa ni nyingi sana mjini.

Kwa hiyo ukimuona nyani mzee, basi utambue fika amekwepa mishale mingi!
 
Safi sana. Mwenyezi Mungu aendelee kuwashushia mibaraka!
 
Kwanini yeye ndiyo mjinga?
Ukiona ndoa imedumu muda mrefu ujuwe mume amekubali kuwa bwege.
-hafatili mambo ya kwenye simu ya mke sms ,calls nk..
  • haulizi ulizi ulikuwa wp Wala hamchunguzi mke.
  • utawala wote wa nyumbani mwenye sauti ni mke.
  • hata mume akisikia mke anagegedwa
huko nje mume anaweka pamba masikioni kama hapajatokea kitu.

Hapa ndoa itadumu miaka mia labda mke achoke na kuondoka mwenyewe na sio kupewa talaka.
 
Kama huyu maza alikuwa mkuu wa wilaya basi Mzee Mkwasa alijifanya boya. Ni ngumu sana mwanamke kutotafunwa kwenye hizi mbanga za kisiasa. Kama manzi yako yuko Dodoma kwenye mkutano mkuu jua kabisa kuna mtu anamtafuna balaa.
 
Mmoja akikubali kuwa mjinga, ni kifo tu ndio kitawatenganisha
Ni kweli, hii ndoa ilipimulia mashine enzi zile Betty anaishi Bahi....kocha wetu alijifanya mjinga mambo yameenda hadi leo 35.....yrs. Mungu azidi kuwatunza
 
Ni kweli, hii ndoa ilipimulia mashine enzi zile Betty anaishi Bahi....kocha wetu alijifanya mjinga mambo yameenda hadi leo 35.....yrs. Mungu azidi kuwatunza
Tupe za ndani basi
 
Dah,

Namkumbuka Betty akiwa Betty Chalamila RTD zaidi ya miaka 35 iliyopita..

Time flies.

All the best.
 
Sio kweli maana hawa mambo yao yanajulikana sana labda kipengele cha kuvumiliana ni sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…