Mbona ndizo zake hata kabla hajaolewa.Sure Betty nmewahi muona chaka bovu mno na men👐🙌
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona ndizo zake hata kabla hajaolewa.Sure Betty nmewahi muona chaka bovu mno na men👐🙌
Ni uvumilivu tu. Na hasa kutoka kwa jamaa yangu Charles! Maana enzi zile Mh. Ngoyai alipokuwa PM, halafu shemeji yetu akateuliwa na JK kuwa Mh. DC! Aisee mambo hayakuwa mepesi hata kidogo. Maana tetesi zilikuwa ni nyingi sana mjini.Watupe Siri ya mafanikio
Safi sana. Mwenyezi Mungu aendelee kuwashushia mibaraka!Mwanahabari mkongwe na aliyepata kuwa Mkuu wa Wilaya enzi ya awamu ya nne, mama Betty Mkwasa na mumewe Charles Boniface Mkwasa yafikia miaka 35.
Charles Boniface Mkwasa mchezaji na kocha wa zamani alioana na Betty mwaka 1990 na wawili hao wamejaaliwa watoto kadhaa.
Vijana wa zama hizi tunafeli wapi kwenye ndoa zetu? Tutumie mfano wa ndoa hii kama sehemu ya kuvumiliana kwenye changamoto mbalimbali.
View attachment 3204476
Ukiona ndoa imedumu muda mrefu ujuwe mume amekubali kuwa bwege.Kwanini yeye ndiyo mjinga?
Unatakiwa uishi kama vile umekufa...Kwakweli Ila mambo ya ndoa wakati mwingine inabidi ujifanye huoni userious sana unakufa wallah
Aseeh nakubali mshua bila hivyo ni ngumuUnatakiwa uishi kama vile umekufa...
Miaka 6Wazazi wangu walianza kuishi pamoja mwaka 74, na wamefunga ndoa mwaka 2018 je Wana miaka mingapi kwenye ndoa?
BM....amejishusha kukubali yoote....dada amesumbuaaa mjini hapaaKwahiyo kati yao nani amekubali kuwa mjinga?
Ni kweli, hii ndoa ilipimulia mashine enzi zile Betty anaishi Bahi....kocha wetu alijifanya mjinga mambo yameenda hadi leo 35.....yrs. Mungu azidi kuwatunzaMmoja akikubali kuwa mjinga, ni kifo tu ndio kitawatenganisha
Kwamba ikutakiwa kufa ila kwamba akaipiganiaaaTicha au master kama tulivyozoea kumwita amepigana vita nyingi kuokoa ndoa hii
Hongera kwake
Tupe za ndani basiNi kweli, hii ndoa ilipimulia mashine enzi zile Betty anaishi Bahi....kocha wetu alijifanya mjinga mambo yameenda hadi leo 35.....yrs. Mungu azidi kuwatunza
Dah,Mwanahabari mkongwe na aliyepata kuwa Mkuu wa Wilaya enzi ya awamu ya nne, mama Betty Mkwasa na mumewe Charles Boniface Mkwasa yafikia miaka 35.
Charles Boniface Mkwasa mchezaji na kocha wa zamani alioana na Betty mwaka 1990 na wawili hao wamejaaliwa watoto kadhaa.
Vijana wa zama hizi tunafeli wapi kwenye ndoa zetu? Tutumie mfano wa ndoa hii kama sehemu ya kuvumiliana kwenye changamoto mbalimbali.
View attachment 3204476
Toa ushuhuda basiHongera zao ya jirani hapa imevunjika siku tatu baada ya kufungwa na mmoja wao kaondoka na mapengo.
Wapo juliana mbezi beach.Wapo Tegeta Azania ,TANESCO Road ,Nyumba ya Ghorofa Kwenye Mnara.
Sio kweli maana hawa mambo yao yanajulikana sana labda kipengele cha kuvumiliana ni sawa.-No ubinafsi
-Hakuna Maringo or lugha mbaya ndani ya nyuma
-Kuheshimiana
-Baba analeta kodi ya nyumba na mama anaridhika nayo kwakua wanapendana.
-Mola wao ndio kiongozi mkuu
-Misuguano ipo lkn huisikii Kwa jirani.
They love each other unconditional
Wamehama lini pale Tegeta Tanesco Road Mnarani? Mbona namuona sana Betty na Harrier yake akitokea pande hizo?Wapo juliana mbezi beach.