Ndoa ya mwanaume mpare na mzaramo kimanzichana Dar es salaam yavunjika kisa mke hawezi kula kande na ugali anasema akila tumbo huuma anataka chips Kuku,mayai na wali na mboga yeyote sio kande na ugali
Mpare kaona isiwe kesi ndoa imevunjika hawanajamaliza hata wiki mbili toka waoane
Mpare kaona isiwe kesi ndoa imevunjika hawanajamaliza hata wiki mbili toka waoane