Hope urassa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2017
- 4,230
- 10,650
Hii combination hata haibalance vizuri etiš¤£Hivi Mpare unamuoaje Mzaramo*???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii combination hata haibalance vizuri etiš¤£Hivi Mpare unamuoaje Mzaramo*???
uskute unatokea familia duni hata hizo kande ni mali kwenu ila kwakua jf kila mtu ni mtu basi unasema kande sio za kuliwa na binadamuššššMwanaume atafute hela makande ya nini aisee mbona anataka kumuua Binti wa watu hii michezo ya kuoa kutaka sifa mtaani halafu huna uwezo wa kumuhudumia mwisho wake ndio huu Sasa makande wanakula binadamu
alikua anataka kupigwa kitu kizitoHii combination hata haibalance vizuri etiš¤£
Mpare + mzaramo yaani hata haiji, imekataa kabisa, ni kama physics na kiswahilišalikua anataka kupigwa kitu kizito
Utadumaa shaurilo š¤£Nimepata hamu ya makande kesho nayapika
Karibu sana rafiki, nitakupikia...na mazaga mengineš¤£Nimepata hamu ya makande kesho nayapika
Ndo maana unashauriwa uoe kwenu,binafsi siwezi kula kande,au ugali jioni
Hahahah nitadumaa kama wapare?Utadumaa shaurilo š¤£
Kande na mishkaki ni mitamu sana fanya msaada wa mishkaki tuKaribu sana rafiki, nitakupikia...na mazaga mengineš¤£
Hii combination hata haibalance vizuri etiš¤£
Wa mjiniWewe Mpare ila unasema huwezi kula kande jioni?
Au ni Mpare kwa jina tu lakini Huna vile vinasaba vya koparÄ ? [emoji38][emoji38]