Mkuu hapa swala siyo chakula bali....Sasa si angemsikiliza tu,mume apikiwe then mke kwa pesa yake ale kiepe daily
Hajui tuu vile wapare tuna mapenzi ya dhati, sasa yeye anathamini chakula kuliko mapenzi ya kweli
Nasikia mnapenda makande kuliko mkeHajui tuu vile wapare tuna mapenzi ya dhati, sasa yeye anathamini chakula kuliko mapenzi ya kweli
HapanaSasa si angemsikiliza tu,mume apikiwe then mke kwa pesa yake ale kiepe daily
Hy hapana mkuu, wapare n watu bora sana kwenye mahusianoNasikia mnapenda makande kuliko mke
Ndoa ya mwanaume mpare na mzaramo kimanzichana Dar es salaam yavunjika kisa mke hawezi kula kande na ugali anasema akila tumbo huuma anataka chips Kuku,mayai na wali na mboga yeyote sio kande na ugali
Mpare kaona isiwe kesi ndoa imevunjika hawanajamaliza hata wiki mbili toka waoane
Okee okeeMkuu hapa swala siyo chakula bali....