Ndoa ya mwanaume mpare na mzaramo yavunjika kisa mke hawezi kula kande na ugali eti akila tumbo huuma anataka chips na wali

Kimanzichana haipo dar
 
Mwanaume atafute hela makande ya nini aisee mbona anataka kumuua Binti wa watu hii michezo ya kuoa kutaka sifa mtaani halafu huna uwezo wa kumuhudumia mwisho wake ndio huu Sasa makande wanakula binadamu
We wapare unawajua unawasikia, ni kabila bahili dunia nzima, na ubahili wao haunaga faida. Wapo rough sijui wana shida gani kichwani.
 
Huyo mzamaramo na chips wapi na wapi, viazi vya Chipsi vinalimwa wapi uzaramoni ili angalau tujue ni chakula cha asili, angesema mihogo tungemuelewa kidogo
 
Tabia mbaya hiyo,hapo ndio unapogundua ndoa nyingi zipo TU Kwa sababu mwanaume anajiweza. akikosa kitu hamna ndoa tena
 
Mwanamke wa Kizaramo ni grade ya mwisho kabisa hapa Tanzania

Miaka yote kala ugali na matembele na visamaki vya kurumagia kwa baba yake uzaramuni halafu analeta pozi

Piga chini Mzaramo sio wa kuoa, waoane wenyewe
 
Gahawa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…