I'm so sor sweetylady naamini itakuwa vigumu kunielewa ila ndivyo ilivyo. Mapenzi yetu yalikuwa matamu na mda mwingine machungu ila niliweza kuvumilia. Visa vingi umenifanyia hivyo kunifanya niishi kama mume mjinga.
Tabia yako ya kulala nje mimi imenishinda
Kuwashobokea masharobaro kama akina Mungi na wenzie sikupenda hiyo tabia
Now you are free to go mtoto tutampeleka kwa babu yao watu8
cc: Baba V. Bishanga. Mr. Rocky.
una nini wewe hangover za jana eh?
Sana sana ni R.I.P
raha ya milele uwape,na mwanga wa milele uwaangazie ,wapumzike kwa amani
Sana sana ni R.I.P
raha ya milele uwape,na mwanga wa milele uwaangazie ,wapumzike kwa amani
poor you @Fillipo mimi ni mwanaume