yeye mwenyewe ndio anataka kurudi ila nimemwambia maombi lazima yapitie kwa wazazi wake
huogopi kupigwa misumari?
Mke wangu mwenyewe na niogope watu?
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
poor Vin Diesel,sasa na Mungi wewe na nitts mnamuweka kundi gani?