Ndoa ya nitonye na sweetylady imevunjika rasmi

Ndoa ya nitonye na sweetylady imevunjika rasmi

Japo una mapungufu mengi kama chujio lilivyojaa matundu....mie bado nakupenda sweetlady wangu...
Karibu nyumbani tuanze mwaka mpya kwa penzi imara

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
hehehe. Naona kakushinda hadi wewe mwalimu mkuu. Hug tu kwa Katavi vumbi limetimka utasema kuna alshabaab! Mtoto jangili huyu!


Haiwezekani kama hakukualika kamanda wangu mie nilikuwa eneo la tukio................nimekumisije mkubwa aisee heri ya mwaka mpya bana
 
Eti??? Baba V kamu zisi wei unisaidie kujibu hili swala hapa

Dena Amsi cheti cha ndoa yetu ulitick pale ilipoandikwa ndoa ya wake wengi so kubali tuu kwamaana ulikubali mwenyewe
Baba V nitakuletea documents zote kuonyesha kuwa Dena Amsi aloconsent kuwa kwenye ndoa ya wake wengi hivyo sweetlady kuwa hapa hayuko kimakosa
 
Last edited by a moderator:
Mzima wa afya kabisa vipi wewe umeshafika yale maeneo kutoka kule mahapa sijui kwa Babu wa JF sijui panaitwa nini vile majina magumu sana ya huko

heheheheh!!! nisharudi. karibu tusheherekee mwaka mpya pamoja
 
nitonye na sweetlady , mapenzi yenu yalianza kitambo sana.. Tafadhali msisikilize ya watu.. Ni mahasidi na wana lengo la kuharibu ndoa yenu maana imedumu kwa muda mrefu..
 
Last edited by a moderator:
Ha ha haya bana mie ndio niko ndani ya ile mahala nilikwambia nitakwenda ha ha pokea simu bana

hehehe,,, kwa utalii unafunika hata hao watanga. lol!!! simu sijui nimeitupa wapi, naiskia inaita ila siioni. lol. ntakupigia baadae.
 
Back
Top Bottom