Aaah wapi! Yaani mara 100 nirudiane na nitonye kuliko Vin Diesel. Zigo la misumari hilo Erickb52, kamwe siwezi kulirudia.Jiandae kumrudia.
Mshamgeuza kitenesi eeeh sahizi zamu yangu
Mwambie huyo!
Kwani una ujana gani wewe?Kijana hebu shika adabu yako....nani kibabu?
Jiandae kumrudia.
Mshamgeuza kitenesi eeeh sahizi zamu yangu
Hehehehehe! Wakiambiwa watoke wenye wife material na wewe utatoka? Hebu pisha kule na mashauzi yako!
Hahahaha! Anapumzika tu ila hapa panaitwa mtakuja, asipoyaoga atayanywa!Huwezi kufanya maamuzi tunajua sweetlady amekulisha kitu imenata kwenye kichwa huwezi kutoka wewe!
Kijana hebu shika adabu yako....nani kibabu?
Kwani una ujana gani wewe?
Aaah wapi! Yaani mara 100 nirudiane na nitonye kuliko Vin Diesel. Zigo la misumari hilo Erickb52, kamwe siwezi kulirudia.
Hahahahaaa kasema hawatakiiiii mbona mnaleta ubishi?
Kwani nani anasema anamtaka....mchukue tena fastaaaaaaaaaa....
Hehehehe! Mie nikutumie PM wewe? Kwa lipi haswa? Aisee tena taratibu usinchafulie cv mie!Usimfanye mke wangu a log in apambane na ww....mie sikutaki na PM zako sijibu..
Hahahaha! Yani hapa sijaachwa Erickb52, anatikisa kiberiti tu lol! Huku PM ndio usiseme Mungi ananifariji balaa, Mr Rocky ameahidi kutangaza ndoa ila mie nimemwambia asubiri kwanza nitonye anikabidhi talaka yangu hehehe! Kuachwa kunauma we acha tu. Hapa najikaza kutabasamu.