Ndoa ya nitonye na sweetylady imevunjika rasmi

Hehehehe! Mie nikutumie PM wewe? Kwa lipi haswa? Aisee tena taratibu usinchafulie cv mie!

Cv yako umeichafua mwenyewe kutwa kutangatanga na njia....
Juzi kwangu,jana kwa nitonye na leo kwa Erickb52...mbona hutulii weweeee...
 
Last edited by a moderator:
Cv yako umeichafua mwenyewe kutwa kutangatanga na njia....
Juzi kwangu,jana kwa nitonye na leo kwa Erickb52...mbona hutulii weweeee...
Hehehehe! Mapenzi kiti cha basi babu, ukishuka hushuki na siti. Unaiacha wanakalia wengine!
 
Last edited by a moderator:
Afu wewe naona unanitaka, huishi kunitaja mdomoni. Mbona nimekuacha zamani hivyo? Pole weye ila nafasi yako moyoni mwangu nilishaiondoa zamani sana... Fanya yako kama ambavyo mie nafanya yangu!

Nakutaja mdomoni ila moyoni haumo...kuna mwenzio kajaa tele...wewe hangaika na mitaa
 
Heheheeeeee bado unakomaa na vibabu eeeh
 
Last edited by a moderator:
Lakini si nilikuonya kuwa makini na hawa akina erick
Ila hujanipa nafasi ya kujitetea, umeishia kuamini maneno ya wapita njia na wasiopenda kuiona ndoa yetu inadumu! Nasikitika manake wewe pia una makosa mangapi? Mbona mie nimekuvumilia na kukupa nafasi mara kadhaa? Poa mie naheshimu maamuzi yako japo inaniuma!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…