Ndoa ya Queen Darleen Chalii

Ndoa ya Queen Darleen Chalii

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Ila hii familia Ina nuksi kwenye masuala ya ndoa, familia Nzima hakuna mwenye ndoa ya kueleweka. Isihaka kashajua Queen Darleen hana undugu na Diamond kaamua kumuacha(jokes[emoji16])

Umbea wq chini chini unadai queen darleen kalambwa talaka tatu na aliyekua mumewe, chanzo bado hakijajulikana
 
Tafuta pesa ujue chawa na ukoo wako
 
Mmmh baada ya kuhangaika weee akafanikiwa kumtoa bi mkubwa tena kwa talaka tatu hata hajatawala vizuri nae kasombwa na mafuriko ya talaka aiseee.

Mi alikuwa ananiboa sana,najua ni wengi alikuwa anatuboa kwa mikogo yake sijui sukari ya isihaka khaaa alafu hana huruma kwa mke mwenzie hajafanikiwa kupata mtoto ni maumivu tosha bado umrushe roho kweli jamaniiii
Nahisi huyo isihaka alirogwa sio bure
 
[emoji3][emoji3][emoji3]Kuimba kwenyewe sasa hajui, basi tabu tupu
Isiaka hana hamu, aliingia kwenye ndoa ya mke wa pili akiwa na mke waliejenga nae nyumba. Sasa hivi amefilisika kabisa lakini amepata mtoto.

Swali ni kuwa kama alishindwa kumpa mimba Sabra, na Queen alichepuka juzi, tutajuaje kama mtoto ni wa Isiaka kweli?
 
Back
Top Bottom