Ndoa ya Queen Darleen Chalii

Ndoa ya Queen Darleen Chalii

Ila hii familia Ina nuksi kwenye masuala ya ndoa, familia Nzima hakuna mwenye ndoa ya kueleweka. Isihaka kashajua Queen Darleen hana undugu na Diamond kaamua kumuacha(jokes[emoji16])

Umbea wq chini chini unadai queen darleen kalambwa talaka tatu na aliyekua mumewe, chanzo bado hakijajulikana
Sawa lokole
 
Naomba kujuzwa.

Hivi hizi ndoa za watu maarufu/ wasanii Tanzania ni ndoa kwa mujibu wa sheria kabisa, au inakuwa ni sherehe ya harusi tu.

Maana kama ndoa hizo zinafungwa kwa mujibu wa sheria, basi ninavyojua mimi kuvunjika kwake lazima ivunjwe na mahakama. Na pia sheria zetu zimeweka masharti magumu sana ndoa kuvunjwa kabla kuisha miaka miwili etc!!!!!!
Swali zuri hili. Wataalam waje. Ikiwemo swala la kugawana Mali.
 
Back
Top Bottom