Ndoa ya Queen Darleen Chalii

Huyo Isihach alichotaka ni umaarufu na drama za mjini. Utaoaje demu umri wa kina Dully na watoto 2 juu.
 
Alizidisha mbwembwe na dharau kwa mwenzie. Kweli Alituboa wengi
 
@Jokajeusi anatoa mafunzo kila siku humu ndani, na mambo yenyewe ndio haya sasa, wanadamu tunakaza vichwa sana.
 
Hii familia ingekuwa Emerikani ingekuwa na ukwasi wa kutosha sana aisee!!!
 
Naomba kujuzwa.

Hivi hizi ndoa za watu maarufu/ wasanii Tanzania ni ndoa kwa mujibu wa sheria kabisa, au inakuwa ni sherehe ya harusi tu.

Maana kama ndoa hizo zinafungwa kwa mujibu wa sheria, basi ninavyojua mimi kuvunjika kwake lazima ivunjwe na mahakama. Na pia sheria zetu zimeweka masharti magumu sana ndoa kuvunjwa kabla kuisha miaka miwili etc!!!!!!
 
Another nyange case study
 
Nawakumbusha tu watu kama kina warumi wanaonuka midomo ndo wanakuwaga na story nzuri kama hizi
 
Alijishaua mno mpaka mke mkubwa kuachika
 
Mmmh baada ya kuhangaika weee akafanikiwa kumtoa bi mkubwa tena kwa talaka tatu hata hajatawala vizuri nae kasombwa na mafuriko ya talaka aiseee.
Afu huyo mwanaume atarudi kwa mkewe wa kwanza kuomba msamaha. Khaaaah
 
Mambo ni vururu tyuuuh.
 
Sio kurogwa Mkuu itakuwa alimpaa Tigoweb
 
Mna amini kila mnachosoma na kusikia.Balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…