Naomba kujuzwa.
Hivi hizi ndoa za watu maarufu/ wasanii Tanzania ni ndoa kwa mujibu wa sheria kabisa, au inakuwa ni sherehe ya harusi tu.
Maana kama ndoa hizo zinafungwa kwa mujibu wa sheria, basi ninavyojua mimi kuvunjika kwake lazima ivunjwe na mahakama. Na pia sheria zetu zimeweka masharti magumu sana ndoa kuvunjwa kabla kuisha miaka miwili etc!!!!!!