Elvis Legacy
JF-Expert Member
- Aug 10, 2017
- 4,929
- 7,927
Hizi ndio habari wanawake wadangaji wanapenda. Kwa hiyo offer angeondoka na Yutong imejaa super women wote wa bongoland
Hakimi style ndo ikojeTanzania hakuna ndoa za prenup. Hapa kama una ukwasi usalama wako ni kufanya hakimi style
Mali zako unaakindikisha majina ya mama kwa hiyo kisheria ni sawa na haumiliki chochoteHakimi style ndo ikoje
Aahaaaa Kwan Jojina ana Nini?Hapa bado ni utapeli tu
Mbona hatujaona jinsi cr7 atavyo nufaika na mali za jojina
KUtoka kwa Mtaalamu Marijani Rajabu R.I.P legendUmeondoka jojina, umeniachia masikitiko,jojina jojina aaah ... Ooh georgina…siku uliondoka,uliniacha nakua na majonzi,umekwenda kuishi mbali namii ...
Ooh georgina…siku uliondoka,uliniacha nakua na majonzi,umekwenda kuishi mbali namii…georgina wa wamamaaa,sipati usingizi nikikumbuka,tulivyoishi mimi na we Georgina aaaa!!
Tangu umeondoka,,,umeniachia masikitiko,, sipati usingizi nikikumbuka,,,tulivyoishi mimi na wewe,,,,georgina wa mamaa
Ni wimbo mkuu,zilipendwa classic lyrics zake hizo hapo juu