johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Dr Dotto Biteko anaamkiwa na Wazaramu wote hapo Lumumba st dadeki 🐼Sasa hapo umeandika nini. Nyie genge la wasukuma mtahangaika sana ila hamtapata tena uongozi wa hii nchi. Mabwege tu nyie na mauzushi yenu
Kwa kweli twamshukuru sana Mungu wetu Mkuu kwa kutuondolea lile dhalimu.Ilikuwa jambo la muda tu kugeukana maana wanafiki siku zote muda huwaumbua ,
Walijikusanya wakapanga wakatekeleza kisha wakatoka huko walipo wakatangaza kifo cha jpm na kuamua kufunika yote mazuri aliyoyafanya.
Eti waliungana kulinda demokrasia ya nchi, uhuru, utawala bora, utawala wa sheria, kufungua nchi kwa kilicho itwa eti MARIDHIANO kiko wapi Mungu amewabua wamegawanyika katika njia saba.
Rais Samia akasema "hakukuwa na nidhamu wakati wa utawala wa Magufuli bali li simba la Yuda linawakoromea ".
Tukaambiwa lisu ,lema , ngurumo,manji na wengine wanakuja kuishi Tanzania kwa kuwa sasa hakuna misuguano na Magufuli maana tayari amesha kufa.
Akaja Nape akasema kwa sasa "nchi imetulia Mungu ameamua ugomvi"
Mnafki mpe muda tu
USSR
Sent from my Infinix X6511G using JamiiForums mobile app
Waabudu mizimu haoSasa tunawona kila siku wanaenda Chato kuomba msamaha kwenye kaburi
Tushashinda. Mana lile shetani lenu la Chato linaozeana tu huko kuzimu wakati aliotutesa tukiendelea kufaidi mema ya nchi yetuHuwezi shindana it is only a matter of time.
Hayo ndo mambo wasiyoyapema wafuasi wa lile shetani la ChatoNchi ilikuwa inaenda alijono ndugu kipindi Cha like dubwana. Acha iebde vizuri chini ya mama. Huoni wawekezaji wameongezeka? Utalii je? Mahoteli yaliyofungea je? Kwa Sasa Ngurdoto imerudi kwa Kasi na mahotel mengine kibao
Haisaidii chochote kwa sasaSasa tunawona kila siku wanaenda Chato kuomba msamaha kwenye kaburi
Huwezi kuelewa maana una akili kidogo sanaSasa hapo umeandika nini. Nyie genge la wasukuma mtahangaika sana ila hamtapata tena uongozi wa hii nchi. Mabwege tu nyie na mauzushi yenu
Muuza nyapu kama wewe huwezi kuelewaChato anaenda nani kufanya nini. Washamba tu nyie, wasiende Butiama waende kwa huyo marehemu wenu mhutu? Hamna hata akili ya kuazima we bwege?
Akaja Yusuf makamba akasema wema hawafi si unaona jk na kinana hawajafa!Kuondoa uhai wa binaadamu sio jambo dogo mkuu, hautokaa kwa amani mpaka siku unaingia kaburini
Kwamba hatujui tofauti ya utawala wa dhalimu Magufuli na huu wa bibi mkojani? Hata sasa itokee tofauti kiasi gani, hakuna namna yoyote tunaweza kuona utawala wa dhalimu Magufuli ulikuwa sawa.Ilikuwa jambo la muda tu kugeukana maana wanafiki siku zote muda huwaumbua ,
Walijikusanya wakapanga wakatekeleza kisha wakatoka huko walipo wakatangaza kifo cha jpm na kuamua kufunika yote mazuri aliyoyafanya.
Eti waliungana kulinda demokrasia ya nchi, uhuru, utawala bora, utawala wa sheria, kufungua nchi kwa kilicho itwa eti MARIDHIANO kiko wapi Mungu amewabua wamegawanyika katika njia saba.
Rais Samia akasema "hakukuwa na nidhamu wakati wa utawala wa Magufuli bali li simba la Yuda linawakoromea ".
Tukaambiwa lisu ,lema , ngurumo,manji na wengine wanakuja kuishi Tanzania kwa kuwa sasa hakuna misuguano na Magufuli maana tayari amesha kufa.
Akaja Nape akasema kwa sasa "nchi imetulia Mungu ameamua ugomvi"
Mnafki mpe muda tu
USSR
Sent from my Infinix X6511G using JamiiForums mobile app
Tatizo nyie hamuwezi siasa za ustaarabu wacha mpambane sasaKwamba hatujui tofauti ya utawala wa dhalimu Magufuli na huu wa bibi mkojani? Hata sasa itokee tofauti kiasi gani, hakuna namna yoyote tunaweza kuona utawala wa dhalimu Magufuli ulikuwa sawa.
Gap zipiHapa naona vijana wa Magu wanaforce mzee akumbukwe, maana maza anampiga gap kila idara. Kweli kuongoza ni akili
Wanaumia sana kila wanapoona mafanikio ya Mama wanatamani iwe jitu lao ndo lilofanya.Hapa naona vijana wa Magu wanaforce mzee akumbukwe, maana maza anampiga gap kila idara. Kweli kuongoza ni akili
Mafanikio ya demokrasia hii hii ya jeshi kufanya usafi huku watu wakiandamanaWanaumia sana kila wanapoona mafanikio ya Mama wanatamani iwe jitu lao ndo lilofanya.
Ni hv ht km Mama ana mapungufu kiasi gani lkn kamwe hatutotamani turudi tulikotoka kwa jitu hatari kama lile
Punguza makasiliko.Wasukuma walikufanya nini mpaka utokwe povu kiasi hicho😃Chato anaenda nani kufanya nini. Washamba tu nyie, wasiende Butiama waende kwa huyo marehemu wenu mhutu? Hamna hata akili ya kuazima we bwege?
Sio siasa za kistaarabu, sema siasa za kizoba za kujinyenyekeza kwa ccm. Siasa gani za kistaarabu kwa majizi ya ccm?Tatizo nyie hamuwezi siasa za ustaarabu wacha mpambane sasa
USSR
Sent from my Infinix X6511G using JamiiForums mobile app
Acha kuwasingizia Jeshi letu wanajielewa sana.Leta blah blah zako lakini uwe na heshima kwa Jeshi letu.Naona mmeamua kujifariji na mtu wenu aliyeharibu nchi kiasi ambacho kidogo jeshi ipindue nchi