Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,186
- 13,757
Kumbe ulifyekwa kwa cheti feki.Pole sanaAlaaniwe jpm aliyeudangabya umma eti Tanzania Kuna vyeti feki wakati yeye ndo alikuwa na PhD feki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe ulifyekwa kwa cheti feki.Pole sanaAlaaniwe jpm aliyeudangabya umma eti Tanzania Kuna vyeti feki wakati yeye ndo alikuwa na PhD feki
Jeshi lililokuwa linalipwa mshahara ontime, Jeshi lilio ongezewa marupu rupu, posho kibao, jeshi ambalo walikuwa wanakatwa hela eti wakanywe soda kanteen kwa lazima,Naona mmeamua kujifariji na mtu wenu aliyeharibu nchi kiasi ambacho kidogo jeshi ipindue nchi
Hahahaha kumbe ulidakwa kwenye vyeti feki, kasome huko Kunguru, na anakuja mwingine atakagua hadi marks kama mlipata zilikuwa za ukweli.Alaaniwe jpm aliyeudangabya umma eti Tanzania Kuna vyeti feki wakati yeye ndo alikuwa na PhD feki
Amempiga gap kwenye nini,hebu fafanua kwanza.Hapa naona vijana wa Magu wanaforce mzee akumbukwe, maana maza anampiga gap kila idara. Kweli kuongoza ni akili
Wewe ni fisadi endelea Kula mema ya nchiNaona mmeamua kujifariji na mtu wenu aliyeharibu nchi kiasi ambacho kidogo jeshi ipindue nchi
Jeshi linalojielewa linanaenda kuzoa takataka barabarani kisa wanaiogopa chadema?Acha kuwasingizia Jeshi letu wanajielewa sana.Leta blah blah zako lakini uwe na heshima kwa Jeshi letu.
Na sasa tunaenda rejesha umagufuli nchini. Wananchi wameona ndio njia pekee kwenda mbele kiuchumi kwa pamoja. Wanafiki watiifu kwa ubeberu mwisho wao 2025. Mama ajisalimishe tu. Heshima yake itabakia ikiwa atahakikisha mrithi wa magufuli anachukua uongozi wa nchi yetu.Ilikuwa jambo la muda tu kugeukana maana wanafiki siku zote muda huwaumbua ,
Walijikusanya wakapanga wakatekeleza kisha wakatoka huko walipo wakatangaza kifo cha jpm na kuamua kufunika yote mazuri aliyoyafanya.
Eti waliungana kulinda demokrasia ya nchi, uhuru, utawala bora, utawala wa sheria, kufungua nchi kwa kilicho itwa eti MARIDHIANO kiko wapi Mungu amewabua wamegawanyika katika njia saba.
Rais Samia akasema "hakukuwa na nidhamu wakati wa utawala wa Magufuli bali li simba la Yuda linawakoromea ".
Tukaambiwa lisu ,lema , ngurumo,manji na wengine wanakuja kuishi Tanzania kwa kuwa sasa hakuna misuguano na Magufuli maana tayari amesha kufa.
Akaja Nape akasema kwa sasa "nchi imetulia Mungu ameamua ugomvi"
Mnafki mpe muda tu
USSR
Sent from my Infinix X6511G using JamiiForums mobile app
Mungu fundi Sana. Hachelewi wala hawahi Bali hujibu kwa wakati. Kiko wap sasa? Na hii ni trailer tu huu mwaka yatauana matapeli ya kijaniIlikuwa jambo la muda tu kugeukana maana wanafiki siku zote muda huwaumbua ,
Walijikusanya wakapanga wakatekeleza kisha wakatoka huko walipo wakatangaza kifo cha jpm na kuamua kufunika yote mazuri aliyoyafanya.
Eti waliungana kulinda demokrasia ya nchi, uhuru, utawala bora, utawala wa sheria, kufungua nchi kwa kilicho itwa eti MARIDHIANO kiko wapi Mungu amewabua wamegawanyika katika njia saba.
Rais Samia akasema "hakukuwa na nidhamu wakati wa utawala wa Magufuli bali li simba la Yuda linawakoromea ".
Tukaambiwa lisu ,lema , ngurumo,manji na wengine wanakuja kuishi Tanzania kwa kuwa sasa hakuna misuguano na Magufuli maana tayari amesha kufa.
Akaja Nape akasema kwa sasa "nchi imetulia Mungu ameamua ugomvi"
Mnafki mpe muda tu
USSR
Sent from my Infinix X6511G using JamiiForums mobile app
Umgaufili ukirudi nchi itapinduliwa soon na jeshi mana tutaanza kuona maiti barabarani kama enzi zakeNa sasa tunaenda rejesha umagufuli nchini. Wananchi wameona ndio njia pekee kwenda mbele kiuchumi kwa pamoja. Wanafiki watiifu kwa ubeberu mwisho wao 2025. Mama ajisalimishe tu. Heshima yake itabakia ikiwa atahakikisha mrithi wa magufuli anachukua uongozi wa nchi yetu.
Mbona povu jingi kutoka kwako wewe mbwa!
Maana ya uongozi ni nini maana kina Makonda sio viongozi au???
Mnaendelea kuumbuka enyi vyeti fake!
Wacha hizo mkuu!Nchi ilikuwa inaenda alijono ndugu kipindi Cha like dubwana. Acha iebde vizuri chini ya mama. Huoni wawekezaji wameongezeka? Utalii je? Mahoteli yaliyofungea je? Kwa Sasa Ngurdoto imerudi kwa Kasi na mahotel mengine kibao
Kwa sasa viongozi wa kisiasa ndio wanajenga viwanda vya mabilioni kupitia mishahara na pia wengine wananunua majumba ya kifahari bilioni 25 huko South Africa na Dubai. Tumerudi shamba la bibi. Maridhiano yalijengwa kutomkumbuka Magufuli kwa njia yoyote. Kumbe haiwezekani. Huu utajiri wa kitisha kwa wanasiasa huku kukatika umeme kila leo hii kurudi panya road kwa nguvu zote hii polisi kudai rushwa waziwazi kunalazimisha wananchi wamkumbuke MagufuliNchi ilikuwa inaenda alijono ndugu kipindi Cha like dubwana. Acha iebde vizuri chini ya mama. Huoni wawekezaji wameongezeka? Utalii je? Mahoteli yaliyofungea je? Kwa Sasa Ngurdoto imerudi kwa Kasi na mahotel mengine kibao
Kwasasa inakwendajeKwa sasa viongozi wa kisiasa ndio wanajenga viwanda vya mabilioni kupitia mishahara na pia wengine wananunua majumba ya kifahari bilioni 25 huko South Africa na Dubai. Tumerudi shamba la bibi. Maridhiano yalijengwa kutomkumbuka Magufuli kwa njia yoyote. Kumbe haiwezekani. Huu utajiri wa kitisha kwa wanasiasa huku kukatika umeme kila leo hii kurudi panya road kwa nguvu zote hii polisi kudai rushwa waziwazi kunalazimisha wananchi wamkumbuke Magufuli
Wewe kama una jiamini hebu waseme ukiwa na real ID yako tuone ujasiri wako.Unalidharau jeshi huku ukijifichia kwenye fake ID.Bure kabisa weweJeshi linalojielewa linanaenda kuzoa takataka barabarani kisa wanaiogopa chadema?
Kwa hii comment unaonyesha kiwango chako kikubwa sana cha kutokuelewa maswala ya uendeshaji wa Nchi.Unadhani Jeshi wana mawazo mepesi kama yako?Umgaufili ukirudi nchi itapinduliwa soon na jeshi mana tutaanza kuona maiti barabarani kama enzi zake
Ilikuwa jambo la muda tu kugeukana maana wanafiki siku zote muda huwaumbua ,
Walijikusanya wakapanga wakatekeleza kisha wakatoka huko walipo wakatangaza kifo cha jpm na kuamua kufunika yote mazuri aliyoyafanya.
Eti waliungana kulinda demokrasia ya nchi, uhuru, utawala bora, utawala wa sheria, kufungua nchi kwa kilicho itwa eti MARIDHIANO kiko wapi Mungu amewabua wamegawanyika katika njia saba.
Rais Samia akasema "hakukuwa na nidhamu wakati wa utawala wa Magufuli bali li simba la Yuda linawakoromea ".
Tukaambiwa lisu ,lema , ngurumo,manji na wengine wanakuja kuishi Tanzania kwa kuwa sasa hakuna misuguano na Magufuli maana tayari amesha kufa.
Akaja Nape akasema kwa sasa "nchi imetulia Mungu ameamua ugomvi"
Mnafki mpe muda tu
USSR
Sent from my Infinix X6511G using JamiiForums mo
Shetani kapumzishwa chato, cdm na ccm wanafanya mabadiliko ya kisiasa kuelekea Tanzania mpyaIlikuwa jambo la muda tu kugeukana maana wanafiki siku zote muda huwaumbua ,
Walijikusanya wakapanga wakatekeleza kisha wakatoka huko walipo wakatangaza kifo cha jpm na kuamua kufunika yote mazuri aliyoyafanya.
Eti waliungana kulinda demokrasia ya nchi, uhuru, utawala bora, utawala wa sheria, kufungua nchi kwa kilicho itwa eti MARIDHIANO kiko wapi Mungu amewabua wamegawanyika katika njia saba.
Rais Samia akasema "hakukuwa na nidhamu wakati wa utawala wa Magufuli bali li simba la Yuda linawakoromea ".
Tukaambiwa lisu ,lema , ngurumo,manji na wengine wanakuja kuishi Tanzania kwa kuwa sasa hakuna misuguano na Magufuli maana tayari amesha kufa.
Akaja Nape akasema kwa sasa "nchi imetulia Mungu ameamua ugomvi"
Mnafki mpe muda tu
USSR
Sent from my Infinix X6511G using JamiiForums mobile app
Wewe ni kichaa tena mkubwa tuShetani kapumzishwa chato, cdm na ccm wanafanya mabadiliko ya kisiasa kuelekea Tanzania mpya
Wanafiki wote wameumbuka kwa kiwango cha kimataifa.Ilikuwa jambo la muda tu kugeukana maana wanafiki siku zote muda huwaumbua ,