Pre GE2025 Ndoa ya serikali ya Samia, CHADEMA na wanaharakati dhidi ya Magufuli sasa imevunjika rasmi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Naona mmeamua kujifariji na mtu wenu aliyeharibu nchi kiasi ambacho kidogo jeshi ipindue nchi
Jeshi lililokuwa linalipwa mshahara ontime, Jeshi lilio ongezewa marupu rupu, posho kibao, jeshi ambalo walikuwa wanakatwa hela eti wakanywe soda kanteen kwa lazima,

JPM akawaondolea huo utapeli na kuwanyoshea njia zao.

Leo ndo useme lilitaka kumpindua, labda lilitaka kupindua yale matuta mawili ukiyobebana na kuyaburuza hapo nyuma Boss
 
Alaaniwe jpm aliyeudangabya umma eti Tanzania Kuna vyeti feki wakati yeye ndo alikuwa na PhD feki
Hahahaha kumbe ulidakwa kwenye vyeti feki, kasome huko Kunguru, na anakuja mwingine atakagua hadi marks kama mlipata zilikuwa za ukweli.

Utachukia zaidi naona
 
Acha kuwasingizia Jeshi letu wanajielewa sana.Leta blah blah zako lakini uwe na heshima kwa Jeshi letu.
Jeshi linalojielewa linanaenda kuzoa takataka barabarani kisa wanaiogopa chadema?
 
Na sasa tunaenda rejesha umagufuli nchini. Wananchi wameona ndio njia pekee kwenda mbele kiuchumi kwa pamoja. Wanafiki watiifu kwa ubeberu mwisho wao 2025. Mama ajisalimishe tu. Heshima yake itabakia ikiwa atahakikisha mrithi wa magufuli anachukua uongozi wa nchi yetu.
 
Mungu fundi Sana. Hachelewi wala hawahi Bali hujibu kwa wakati. Kiko wap sasa? Na hii ni trailer tu huu mwaka yatauana matapeli ya kijani
 
Umgaufili ukirudi nchi itapinduliwa soon na jeshi mana tutaanza kuona maiti barabarani kama enzi zake
 
Mbona povu jingi kutoka kwako wewe mbwa!
Maana ya uongozi ni nini maana kina Makonda sio viongozi au???

Mnaendelea kuumbuka enyi vyeti fake!
 

Attachments

  • tapatalk_1488873578481.jpeg
    79.3 KB · Views: 2
Nchi ilikuwa inaenda alijono ndugu kipindi Cha like dubwana. Acha iebde vizuri chini ya mama. Huoni wawekezaji wameongezeka? Utalii je? Mahoteli yaliyofungea je? Kwa Sasa Ngurdoto imerudi kwa Kasi na mahotel mengine kibao
Wacha hizo mkuu!
 
Nchi ilikuwa inaenda alijono ndugu kipindi Cha like dubwana. Acha iebde vizuri chini ya mama. Huoni wawekezaji wameongezeka? Utalii je? Mahoteli yaliyofungea je? Kwa Sasa Ngurdoto imerudi kwa Kasi na mahotel mengine kibao
Kwa sasa viongozi wa kisiasa ndio wanajenga viwanda vya mabilioni kupitia mishahara na pia wengine wananunua majumba ya kifahari bilioni 25 huko South Africa na Dubai. Tumerudi shamba la bibi. Maridhiano yalijengwa kutomkumbuka Magufuli kwa njia yoyote. Kumbe haiwezekani. Huu utajiri wa kitisha kwa wanasiasa huku kukatika umeme kila leo hii kurudi panya road kwa nguvu zote hii polisi kudai rushwa waziwazi kunalazimisha wananchi wamkumbuke Magufuli
 
Kwasasa inakwendaje

USSR

Sent from my Infinix X6511G using JamiiForums mobile app
 
Jeshi linalojielewa linanaenda kuzoa takataka barabarani kisa wanaiogopa chadema?
Wewe kama una jiamini hebu waseme ukiwa na real ID yako tuone ujasiri wako.Unalidharau jeshi huku ukijifichia kwenye fake ID.Bure kabisa wewe
 
Umgaufili ukirudi nchi itapinduliwa soon na jeshi mana tutaanza kuona maiti barabarani kama enzi zake
Kwa hii comment unaonyesha kiwango chako kikubwa sana cha kutokuelewa maswala ya uendeshaji wa Nchi.Unadhani Jeshi wana mawazo mepesi kama yako?
 

Shetani kapumzishwa chato, cdm na ccm wanafanya mabadiliko ya kisiasa kuelekea Tanzania mpya
 
Wanafiki wote wameumbuka kwa kiwango cha kimataifa.
Jiwe walilokataa waashi limekuwa jiwe kuu la pembeni. Ukijikwaa katika jiwe hilo utasagika vipande vipande. Jiwe hilo ni JPM.
Wote waliolidhihaki watasagika vipande vipande, la si hivyo watoke hadharani waombe msamaha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…