Mjukuu wa kigogo
JF-Expert Member
- Sep 19, 2023
- 445
- 1,094
Matarajio ya straika Mnijeria Victor Boniphace kufunga ndoa na mchumba wake mrembo wa Norway Rikke Ermine yamezikwa rasmi baada ya kutokea mtafaruku wa kimakubaliano.Mrembo Rikke Ermine akiweka sharti moja wafunge ndoa ila kwa masharti ya kwamba endapo wakiachana wagawane mali kwa 50-50 kitu ambacho Victor Boniphace hakuafiki