Ndoa ya Victor Boniface yaota mbawa

Ndoa ya Victor Boniface yaota mbawa

Matarajio ya straika Mnijeria Victor Boniphace kufunga ndoa na mchumba wake mrembo wa Norway Rikke Ermine yamezikwa rasmi baada ya kutokea mtafaruku wa kimakubaliano.Mrembo Rikke Ermine akiweka sharti moja wafunge ndoa ila kwa masharti ya kwamba endapo wakiachana wagawane mali kwa 50-50 kitu ambacho Victor Boniphace hakuafiki

View attachment 3266973
Very clever man. Narudia tena uwe mwanamke au mwanaume ipende pesa yako kuliko mpenzi wako. Utanishukuru.
 
Mtu akishatumia hii sentesi"Endapo tutaachana"jua atakuacha one day hiyo ipo kwenye akili yake hajakupenda kwa dhati
 
Back
Top Bottom