Mjukuu wa kigogo
JF-Expert Member
- Sep 19, 2023
- 445
- 1,094
Matarajio ya straika Mnijeria Victor Boniphace kufunga ndoa na mchumba wake mrembo wa Norway Rikke Ermine yamezikwa rasmi baada ya kutokea mtafaruku wa kimakubaliano.Mrembo Rikke Ermine akiweka sharti moja wafunge ndoa ila kwa masharti ya kwamba endapo wakiachana wagawane mali kwa 50-50 kitu ambacho Victor Boniphace hakuafiki
View attachment 3266973
Binti anaonekana ni specialist wa yale mambo ya utandawazi! Ukimuangalia kwa jicho la mbali kabisa namna alivyotoa ulimi wake kuigusa hiyo medali, utagundua kitu. 😎Matarajio ya straika Mnijeria Victor Boniphace kufunga ndoa na mchumba wake mrembo wa Norway Rikke Ermine yamezikwa rasmi baada ya kutokea mtafaruku wa kimakubaliano.Mrembo Rikke Ermine akiweka sharti moja wafunge ndoa ila kwa masharti ya kwamba endapo wakiachana wagawane mali kwa 50-50 kitu ambacho Victor Boniphace hakuafiki
View attachment 3266973
Inashangaza mnoo.Yaani mtu hata ndoa haijafungwa anaanza kuongelea habari za kuachana! Hakuna mke hapo bora mwamba kasepa.
Wanawake weupe wako kimaslahi, arudi kwao atafute pisi ya Kiyoruba aoe
Huyo mchumba hana hata tako halafu anataka mali pasu kwa pasu? Bora kijana kashtukaMatarajio ya straika Mnijeria Victor Boniphace kufunga ndoa na mchumba wake mrembo wa Norway Rikke Ermine yamezikwa rasmi baada ya kutokea mtafaruku wa kimakubaliano.Mrembo Rikke Ermine akiweka sharti moja wafunge ndoa ila kwa masharti ya kwamba endapo wakiachana wagawane mali kwa 50-50 kitu ambacho Victor Boniphace hakuafiki
View attachment 3266973
iyo inaitwa 50%-50%..............Kweli siku hizi Mapenzi hakuna watu wanawaza mali tu.Matarajio ya straika Mnijeria Victor Boniphace kufunga ndoa na mchumba wake mrembo wa Norway Rikke Ermine yamezikwa rasmi baada ya kutokea mtafaruku wa kimakubaliano.Mrembo Rikke Ermine akiweka sharti moja wafunge ndoa ila kwa masharti ya kwamba endapo wakiachana wagawane mali kwa 50-50 kitu ambacho Victor Boniphace hakuafiki
View attachment 3266973