Mwanagenzi
JF-Expert Member
- Sep 11, 2006
- 738
- 273
Nimekuwa najiuliza kwa nini haki za binadamu za ki-Magharibi hazikubali ndoa za mke zaidi ya mmoja?
Nchi kadhaa za Ulaya zimeharamisha ndoa za mke zaidi ya mmoja, japo ziko tayari kuruhusu matumizi ya bangi na ndoa za jinsi moja, kwa mfano!
Nchi hizo katika kutetea haki za binadamu zinapinga adhabu ya kifo na zinatetea sana uhuru na haki za mtu binafsi. Lakini inapokuja kwenye mwanaume kuoa mke zaidi ya mmoja haikubaliki, kwa nini?

Ni nchi gani hiyo iliyozuia watu kuoa wake wengi?Mi naona kama suala la ndoa ni la mtu binafsi zaidi, na ndiyo maana nastaajabu kuona serikali inaingilia, na sioni kama uhuru huu unaathiri jamii pana! Wakati huo huo serikali hizo hizo zinaruhusu ndoa za jnsi moja!
Kama ni suala la Ukristo kwa nini serikali iingilie ilhali serikali haipaswi kuegemea dini au imani moja?
jee ndoa za jinsia moja ni halali kwa mkristo?Ndoa ya mke zaidi ya mmoja ni haramu kwa mkristo..!
Ndoa ya mke zaidi ya mmoja ni haramu kwa mkristo..!
sasa kama ni haram kwa mkristo mbona Slaa ana wake wengi? maaba anae mushumbusi na rose kamili au kwa yeye anaruhusiwa kwa kuwa ni Padri?