Wazungu achana nao ni mashetani wanaweza kufunga ndoa hata na mbwa na wakasema ni haki.Nimekuwa najiuliza kwa nini haki za binadamu za ki-Magharibi hazikubali ndoa za mke zaidi ya mmoja?
Nchi kadhaa za Ulaya zimeharamisha ndoa za mke zaidi ya mmoja, japo ziko tayari kuruhusu matumizi ya bangi na ndoa za jinsi moja, kwa mfano!
Nchi hizo katika kutetea haki za binadamu zinapinga adhabu ya kifo na zinatetea sana uhuru na haki za mtu binafsi. Lakini inapokuja kwenye mwanaume kuoa mke zaidi ya mmoja haikubaliki, kwa nini?