Ndoa ya wake wengi si haki kwa Wazungu, kwa nini?

Ndoa ya wake wengi si haki kwa Wazungu, kwa nini?

Nimekuwa najiuliza kwa nini haki za binadamu za ki-Magharibi hazikubali ndoa za mke zaidi ya mmoja?

Nchi kadhaa za Ulaya zimeharamisha ndoa za mke zaidi ya mmoja, japo ziko tayari kuruhusu matumizi ya bangi na ndoa za jinsi moja, kwa mfano!

Nchi hizo katika kutetea haki za binadamu zinapinga adhabu ya kifo na zinatetea sana uhuru na haki za mtu binafsi. Lakini inapokuja kwenye mwanaume kuoa mke zaidi ya mmoja haikubaliki, kwa nini?
Wazungu achana nao ni mashetani wanaweza kufunga ndoa hata na mbwa na wakasema ni haki.

Nimekuwa najiuliza kwa nini haki za binadamu za ki-Magharibi hazikubali ndoa za mke zaidi ya mmoja?

Mkuu, hawaruhusu kuoa zaidi ya mke mmoja kwa wakati mmoja lakini unaweza kuwapanga msururu hata kama utaoa kila mwezi kwa maisha yako yote inawezekana kwa sharti la kutaliki kabla ya kuoa tena. Ndiyo sababu talaka kwao ni kitu rahisi kupata (isipokuwa kama una pesa za kurithi, au watoto wa kuwatunza.) They arrange their wives in series and we arrange them parallel.
 
True love has always been undivided!
Khaa!! umechanganya mambo kwelikweli. mapenzi, ndoa na unyumba ni vitu tofauti. Ndoa ni jambo la kisheria. Mapenzi ni hisia. Unyumba ni hitaji la mwili :shocked:
 
Nimekuwa najiuliza kwa nini haki za binadamu za ki-Magharibi hazikubali ndoa za mke zaidi ya mmoja?

Nchi kadhaa za Ulaya zimeharamisha ndoa za mke zaidi ya mmoja, japo ziko tayari kuruhusu matumizi ya bangi na ndoa za jinsi moja, kwa mfano!

Nchi hizo katika kutetea haki za binadamu zinapinga adhabu ya kifo na zinatetea sana uhuru na haki za mtu binafsi. Lakini inapokuja kwenye mwanaume kuoa mke zaidi ya mmoja haikubaliki, kwa nini?

Kwasababu ya MFUMO KIRISTO!

Ndiyo maana hata Alhaji Ali Hassan Mwinyi aliambiwa achague first lady mmoja (akamchagua Sitti). Nchi haiwezi kuwa na ma-first ladies wanne. Ndiyo maana Khadija hakuwahi kwenda hata Burundi, mwisho wake ilikuwa Chumbe!

Hata makazini tunaruhusiwa kuandika mke mmoja tu ndiye anatambuliwa kiofisi. Kama utakuwa na zaidi ya mmoja hao wengine kiofisi ni kama MAHAWARA TU.

Marekani kuoa Mke zaidi ya mmoja ni kosa punishable before the court of law.

BTW, huko India kuna koo/familia mwanamke anaolewa na mwanaume zaidi ya mmoja. Mbona hilo hulisemi!
 
vipi kuhusu ndoa ya jinsia moja,maana nasikia ndoa hizi zinaruhusiwa ktk baadhi ya makanisa.

Kama ilivyo kwa baadhi ya misikiti kufungisha ndoa ndoa za njinsia moja. Uliza ujibiwe.
 
Mwananke msomi na mwenye akili timamu hawezi kukubali ujinga wa rungu yake apigiwe mtu mwingine.

Yohana 16:2-3.Tena, wakati unakuja ambapo kila atakaewaua nyinyi atadhani anamhudumia Mungu. Watawatendeeni mambo hayo kwa sababu hawamjui Baba wala hawanijui mimi. By Jesus

6 Lakini mimi nawaambia iliyo kweli; yawafaa ninyi mimi niondoke, kwa maana mimi nisipoondoka, huyo Msaidizi hatakuja kwenu; bali mimi nikienda zangu, nitampeleka kwenu.
7 Naye akiisha kuja, huyo atauhakikisha ulimwengu kwa habari ya dhambi, na haki, na hukumu.
8 Kwa habari ya dhambi, kwa sababu hawaniamini mimi;

9 kwa habari ya haki, kwa sababu mimi naenda zangu kwa Baba, wala hamnioni tena;

10 kwa habari ya hukumu, kwa sababu yule mkuu wa ulimwengu huu amekwisha kuhukumiwa.

Hebu fafanua huyo mkuu wa ulimwengu huu aliyekwisha kuhukumia ni nani?
 
Nimekuwa najiuliza kwa nini haki za binadamu za ki-Magharibi hazikubali ndoa za mke zaidi ya mmoja?

Nchi kadhaa za Ulaya zimeharamisha ndoa za mke zaidi ya mmoja, japo ziko tayari kuruhusu matumizi ya bangi na ndoa za jinsi moja, kwa mfano!

Nchi hizo katika kutetea haki za binadamu zinapinga adhabu ya kifo na zinatetea sana uhuru na haki za mtu binafsi. Lakini inapokuja kwenye mwanaume kuoa mke zaidi ya mmoja haikubaliki, kwa nini?

Mleta maada amejijibu mwenyewe kwa kusema wanatetea haki sawa.
Haki sawa ina maanisha ukiruhusu mwanamme aoe wanawake wengi hapo ina maanisha pia uruhusu wanawake waolewe na wanaume wengi, hiyo ndo haki sawa. Kinyume chake si haki sawa.
 
Khaa!! umechanganya mambo kwelikweli. mapenzi, ndoa na unyumba ni vitu tofauti. Ndoa ni jambo la kisheria. Mapenzi ni hisia. Unyumba ni hitaji la mwili :shocked:
I'm referring to true marriage not otherwise!!!!!!!
 
Kama ilivyo kwa baadhi ya misikiti kufungisha ndoa ndoa za njinsia moja. Uliza ujibiwe.

usijitoe fahamu ndugu, ndoa za jinsia moja ziko Kanisani ! yuko Askofu wa Anglikani ana hudumia na mumewe Kanisani.
Muulize Malasusa !
 
Shame up on u!!

Shame upon who?labda una ugumu wa kuelewa,wakati wazungu wanaona ndoa za wake wengi ni kwa uncivilized societies but za jinsia moja ni sahihi utawazungumziaje watu hao?kwa kukukumbusha tu,wazungu are christians. Kama mnavyosema muslims are terrorists. Shame on U.
 
Khaa!! umechanganya mambo kwelikweli. mapenzi, ndoa na unyumba ni vitu tofauti. Ndoa ni jambo la kisheria. Mapenzi ni hisia. Unyumba ni hitaji la mwili :shocked:

Kama unayatenganisha hayo yaani, unyumba, sheria na hisia, then you can be sure that you are schizophrenic!!!!
 
Kama unayatenganisha hayo yaani, unyumba, sheria na hisia, then you can be sure that you are schizophrenic!!!!
Khaa!! kwa akili yako ya kitumwa lazima uone hivyo. jaribu kufikiri ukiwa huru:A S 39:
 
mungu alisema kila mtu ataambatana na mke wake siyo wake zake. mungu alimtafutia adam msaidiz mmoja siyo wengi.

kiuhalisia wake wengi uleta umasikin na ugomvi tu
Khaa!! Achana na hizo stories. Hivi hauwezi kujenga mfumo wako unaokufaa zaidi ya kufuata mambo ya waarabu na wazungu??:A S 39:
 
Back
Top Bottom