Ndoa ya wake wengi si haki kwa Wazungu, kwa nini?

Khaa!! Achana na hizo stories. Hivi hauwezi kujenga mfumo wako unaokufaa zaidi ya kufuata mambo ya waarabu na wazungu??:A S 39:

Upi unaofaa ambao unadhani hautafanana na any among those?
 
Haikubaliki kuoa mke zaidi ya mmoja kwa vile haikubaliki pia mwanamke mmoja kuolewa na mwanaume zaidi ya mmoja!
Kama inatokea hivyo ni mabavu na si utashi wa mtu binafsi!
 
Upi unaofaa ambao unadhani hautafanana na any among those?
Khaa!! Mbona ipo lakini nyie ndiyo mnajifanya vipofu. Nyie mkifuata mila za waarabu au wazungu mnajiona wa maana kweli. Jiondoe kwenye utumwa bana. Tunayo yetu na inatufaa kwa mazingira yetu :bange:
 

kwa hiyo hao waislam ndo mabikra na hawachocholewi? zero kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…