jamaa si aliacha kumbe bado anaendeleza gemu halafu huku mhe anapigwa mzinga wa pesa ya biashara Na matibabuyule jamaa wa chanel 20-10=?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jamaa si aliacha kumbe bado anaendeleza gemu halafu huku mhe anapigwa mzinga wa pesa ya biashara Na matibabuyule jamaa wa chanel 20-10=?
Humjui wastaraWatu wameng'ang'ania tu ni gundu
but kisaikolojia Wastara asingeweza kabisa kuji tune na mtu mwingine baada ya kifo cha mumewe
anapaswa kujipa mda apone machungu...
hajapona bado ule msiba....mtu yeyote atakae muoa sasa atashindwa tu kuenda nae
ule msiba umemuathiri sana bado.....
du hii inaitwa makavu live .Asante saltSio wacha bi mkubwa ni "acha"
aisee kweli ustaa zigo la mavi .ushamvua Shehe chupi lake hapaHuyu mume si nimesikia naye ana mumewe huko Mwambasa? achana na yule mwengine aliyeolewa wa UVCCM aliyechanwa na sauti ya Kisonge.
Kwa waislamu kuvunja ndoa ni jambo dogo sana, kwanza anayeolewa huwa ni baba mtu sasa bond iko wapi? nimehudhulia hizi ndoa za kiislamu baba ndio anakaa na muowaji badala ya muolewaji awepo aulizwe kwamba anakubali kuolewa kwa mahali kadha wa kadha. kuna tatizo sehemu kwenye hizi ndoa, hazina serious bond.sio ya kwanza kuvunjika ndo maana
We Muongo adi aibuKwa waislamu kuvunja ndoa ni jambo dogo sana, kwanza anayeolewa huwa ni baba mtu sasa bond iko wapi? nimehudhulia hizi ndoa za kiislamu baba ndio anakaa na muowaji badala ya muolewaji awepo aulizwe kwamba anakubali kuolewa kwa mahali kadha wa kadha. kuna tatizo sehemu kwenye hizi ndoa, hazina serious bond.
Kama mtu ana mihemko yake shauri yake anitafsiri awezavyo ila mimi ni Team Trump tunaongeaga ukweli tu na si kupepesa.
kheeeeeeeeeeeeeee baba tena kwahiyo hizi ndoa hazina maana sio mhKwa waislamu kuvunja ndoa ni jambo dogo sana, kwanza anayeolewa huwa ni baba mtu sasa bond iko wapi? nimehudhulia hizi ndoa za kiislamu baba ndio anakaa na muowaji badala ya muolewaji awepo aulizwe kwamba anakubali kuolewa kwa mahali kadha wa kadha. kuna tatizo sehemu kwenye hizi ndoa, hazina serious bond.
Kama mtu ana mihemko yake shauri yake anitafsiri awezavyo ila mimi ni Team Trump tunaongeaga ukweli tu na si kupepesa.
Ukweli ni upi? sheikh alikufungisha ndoa na mumeo? au babako ndio alikuwa na muowaji na sheikh?We Muongo adi aibu
Hahahah umetuuna kabisa, asiyejua maana haambiw maana. KalagabahoUkweli ni upi? sheikh alikufungisha ndoa na mumeo? au babako ndio alikuwa na muowaji na sheikh?
UNASTAAJABU YA MSA.....Huyu mbunge gani hajui hata kuandika kiswahili vizuri!!!!
Nimekumiss sana baba samiraKwa waislamu kuvunja ndoa ni jambo dogo sana, kwanza anayeolewa huwa ni baba mtu sasa bond iko wapi? nimehudhulia hizi ndoa za kiislamu baba ndio anakaa na muowaji badala ya muolewaji awepo aulizwe kwamba anakubali kuolewa kwa mahali kadha wa kadha. kuna tatizo sehemu kwenye hizi ndoa, hazina serious bond.
Kama mtu ana mihemko yake shauri yake anitafsiri awezavyo ila mimi ni Team Trump tunaongeaga ukweli tu na si kupepesa.