Ndoa ya Wastara yadaiwa kuvunjika, mumewe afafanua kilichotokea

Status
Not open for further replies.
mke Na mume wote team mafisi ngoja watapeliane....mke miezi 2 analilia mtaji wa biashara
 
Watu wameng'ang'ania tu ni gundu
but kisaikolojia Wastara asingeweza kabisa kuji tune na mtu mwingine baada ya kifo cha mumewe
anapaswa kujipa mda apone machungu...
hajapona bado ule msiba....mtu yeyote atakae muoa sasa atashindwa tu kuenda nae

ule msiba umemuathiri sana bado.....
Humjui wastara
 
Huyu mume si nimesikia naye ana mumewe huko Mwambasa? achana na yule mwengine aliyeolewa wa UVCCM aliyechanwa na sauti ya Kisonge.
 
sio ya kwanza kuvunjika ndo maana
Kwa waislamu kuvunja ndoa ni jambo dogo sana, kwanza anayeolewa huwa ni baba mtu sasa bond iko wapi? nimehudhulia hizi ndoa za kiislamu baba ndio anakaa na muowaji badala ya muolewaji awepo aulizwe kwamba anakubali kuolewa kwa mahali kadha wa kadha. kuna tatizo sehemu kwenye hizi ndoa, hazina serious bond.

Kama mtu ana mihemko yake shauri yake anitafsiri awezavyo ila mimi ni Team Trump tunaongeaga ukweli tu na si kupepesa.
 
Mnaosema wastara kaachwa, mnataka kuolewa nyie. Acheni uongo uongo.
 
Kwa waislamu kuvunja ndoa ni jambo dogo sana, kwanza anayeolewa huwa ni baba mtu sasa bond iko wapi? nimehudhulia hizi ndoa za kiislamu baba ndio anakaa na muowaji badala ya muolewaji awepo aulizwe kwamba anakubali kuolewa kwa mahali kadha wa kadha. kuna tatizo sehemu kwenye hizi ndoa, hazina serious bond.

Kama mtu ana mihemko yake shauri yake anitafsiri awezavyo ila mimi ni Team Trump tunaongeaga ukweli tu na si kupepesa.
We Muongo adi aibu
 
kheeeeeeeeeeeeeee baba tena kwahiyo hizi ndoa hazina maana sio mh
 
Hivi si wanasema huyu bwana ni kiongozi wa kisiasa!?
Kwa IQ na fikira za kwango hiki, ilikuwaje JK akashindwa kujua ni kwa nini sisi ni masikini!
 
Naona huyu Mzee analalamika wakati Ye mwenyew ana wake wawili Kwanin wake zake wasigongewe. "ndege wafananao huruka pamoja" mayowe ya nin Sasa.
 
HUWA NIKISOMA HII MITIHANAI YA HAWA MASTAA WA KIBONGO,,STRESS HUPUNGUA KWA 98% NA PIA AFYA HUONGEZEKA.
MUNGU AWAPENI WEPESI NA UFAHAMU.
 
Kwa waislamu kuvunja ndoa ni jambo dogo sana, kwanza anayeolewa huwa ni baba mtu sasa bond iko wapi? nimehudhulia hizi ndoa za kiislamu baba ndio anakaa na muowaji badala ya muolewaji awepo aulizwe kwamba anakubali kuolewa kwa mahali kadha wa kadha. kuna tatizo sehemu kwenye hizi ndoa, hazina serious bond.

Kama mtu ana mihemko yake shauri yake anitafsiri awezavyo ila mimi ni Team Trump tunaongeaga ukweli tu na si kupepesa.
Nimekumiss sana baba samira
 
Sadifu Ndugu yangu ulijichanganya sana kuvamia taka taka za bongo movie...hao ni wafanya biashara...!
Pesa mbele...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom