naiman64
JF-Expert Member
- Nov 22, 2013
- 6,961
- 5,460
Una uhakika na ulichoandika? Wewe unaijua ndoa ya kiislam na masharti yake? Mkuu uliza kwa wanaoelewa sio kukurupuka tu, hivi kwa nini upande wa pili mnajifanya ( baadhi) mnaujua sana uislam? Ndoa ya kiislam ni ngumu na ina masharti magumu kuliko hiyo yako, hivi kweli mwenye akili timamu unaweza kusema baba ndiye anayeolewa!! yaani baba zetu ndio wanaoolewa kuwa na heshima basiKwa waislamu kuvunja ndoa ni jambo dogo sana, kwanza anayeolewa huwa ni baba mtu sasa bond iko wapi? nimehudhulia hizi ndoa za kiislamu baba ndio anakaa na muowaji badala ya muolewaji awepo aulizwe kwamba anakubali kuolewa kwa mahali kadha wa kadha. kuna tatizo sehemu kwenye hizi ndoa, hazina serious bond.
Kama mtu ana mihemko yake shauri yake anitafsiri awezavyo ila mimi ni Team Trump tunaongeaga ukweli tu na si kupepesa.