Ndoa ya Wastara yadaiwa kuvunjika, mumewe afafanua kilichotokea

Status
Not open for further replies.
Kwa waislamu kuvunja ndoa ni jambo dogo sana, kwanza anayeolewa huwa ni baba mtu sasa bond iko wapi? nimehudhulia hizi ndoa za kiislamu baba ndio anakaa na muowaji badala ya muolewaji awepo aulizwe kwamba anakubali kuolewa kwa mahali kadha wa kadha. kuna tatizo sehemu kwenye hizi ndoa, hazina serious bond.

Kama mtu ana mihemko yake shauri yake anitafsiri awezavyo ila mimi ni Team Trump tunaongeaga ukweli tu na si kupepesa.
Una uhakika na ulichoandika? Wewe unaijua ndoa ya kiislam na masharti yake? Mkuu uliza kwa wanaoelewa sio kukurupuka tu, hivi kwa nini upande wa pili mnajifanya ( baadhi) mnaujua sana uislam? Ndoa ya kiislam ni ngumu na ina masharti magumu kuliko hiyo yako, hivi kweli mwenye akili timamu unaweza kusema baba ndiye anayeolewa!! yaani baba zetu ndio wanaoolewa kuwa na heshima basi
 
Wastara hakuolewa kwa mapenzi bali kwa kuwa alikua anaumwa, kabla ya kuolewa alikua analialia sana kuhusu pesa za matibabu, nadhani baada ya kupelekwa India na kuona kapona kaona hamna haja ya ndoa, Ni mawazo yangu.
 
Nishida
Hivi kwanini watu wanapenda kuingilia mambo ya watu binafsi!!!
 
Kwa waislamu kuvunja ndoa ni jambo dogo sana, kwanza anayeolewa huwa ni baba mtu sasa bond iko wapi? nimehudhulia hizi ndoa za kiislamu baba ndio anakaa na muowaji badala ya muolewaji awepo aulizwe kwamba anakubali kuolewa kwa mahali kadha wa kadha. kuna tatizo sehemu kwenye hizi ndoa, hazina serious bond.

Kama mtu ana mihemko yake shauri yake anitafsiri awezavyo ila mimi ni Team Trump tunaongeaga ukweli tu na si kupepesa.
Mkuu kama hujui mambo mengine ni jambo jema ukikaa kimya, sio useme ili nawe uonekane umesema mbele za watu.
Kumbukuka kuwa ulihudhuria tu kwenye ndoa ya kiislam, hukupaswa kuambiwa kinachoendelea pale, na hata ungetaka kujua kilichokuwa kinaendelea ungeuliza tu wanaojua wangekuelewesha.
Si sahihi kuja kusema uongo hapa Kwa jambo ambalo ulihudhuria tu.
Siku nyingine ukihudhuria sehemu Kama kuna jambo linatendeka hulielewi ni vyema ukauliza ili ukienda kuwaambia wengine uwaambie kitu sahihi.
Jifunze kuheshimu taratibu za wengine... Chuppa bulas wewe.
 
Una uhakika na ulichoandika? Wewe unaijua ndoa ya kiislam na masharti yake? Mkuu uliza kwa wanaoelewa sio kukurupuka tu, hivi kwa nini upande wa pili mnajifanya ( baadhi) mnaujua sana uislam? Ndoa ya kiislam ni ngumu na ina masharti magumu kuliko hiyo yako, hivi kweli mwenye akili timamu unaweza kusema baba ndiye anayeolewa!! yaani baba zetu ndio wanaoolewa kuwa na heshima basi
Comments zake zote huwa za hovyo hovyo.. Sijui ni shule!!
 
Wanaume hatulalamikagi namna hiyo mitandaoni. Wote mke na mme hawana tofauti. Mafundisho hakuna, adabu mbovu, chimbuko sifuri. Tabia zao sawa sawa!
 
Mkuu kama hujui mambo mengine ni jambo jema ukikaa kimya, sio useme ili nawe uonekane umesema mbele za watu.
Kumbukuka kuwa ulihudhuria tu kwenye ndoa ya kiislam, hukupaswa kuambiwa kinachoendelea pale, na hata ungetaka kujua kilichokuwa kinaendelea ungeuliza tu wanaojua wangekuelewesha.
Si sahihi kuja kusema uongo hapa Kwa jambo ambalo ulihudhuria tu.
Siku nyingine ukihudhuria sehemu Kama kuna jambo linatendeka hulielewi ni vyema ukauliza ili ukienda kuwaambia wengine uwaambie kitu sahihi.
Jifunze kuheshimu taratibu za wengine... Chuppa bulas wewe.
Huyu huwa anafata mpunga ... Acha aropoke
 
Mimi binafsi situmii mitandao ya kimbea mbea kama instagram, fcbk na nyingine blog za kimbea, mke wangu pia marufuku kabisa kutumia kitu hicho, hebu tazama wanavyodhalilishana kwa vitu vya kipuuzi kabisa, mke, mume wote wapuuzi naona, mambo ya ndoa sio ya kujadili kwenye media, na huyu mume hata mke kama amekuwa mjinga kuyapeleka kitendo cha kujibu tu kupitia media nayeye hana tofauti namkewe
 
Kwani wamefanyeje jaman hata sijui kinachoendelea hapa, Mimi.situmii ista.
 
Akika yametimia mm yangu macho...maskini dada wastraaa pole umeingia mkengeee
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom