Ndoa ya Wastara yadaiwa kuvunjika, mumewe afafanua kilichotokea

Status
Not open for further replies.

Mpaka kufika kukaa baba wa muolewaji na muowaji pamoja ujue hapo yashapita makubaliano kati ya muolewaji na muowaji..na pia baada ya huyo muowaji kuulizwa maswali hayo ya 'umekubali kumuowa binti fulani wa fulani' baadae hugeukiwa binti muolewaji na kuulizwa da same question..kwaiyo bond ipo vzr tu
 

Msamee bure tu sio akili zake huyo si bure
 
Wastara alikuwa anaeleweka alikuwa hatafuti mume isipokua anatafuta mtu wa kumtapeli kwa njia yeyote hata kwa gea ya ndoa ili amsponsor wa kumlipia gharama za kupata matibabu India. Wastara hajawahi kumpenda huyo mume, bado anajiona msichana anataka atumbue maisha na vijana, hajifahamu kama anachezea shilingi choni. Itakuwa bora wazee wake wamshauri arudi kwa mumewe na aachane na tamaa, asipofanya hivyo hao vijana anaowataka watamchezea kama mpira na kumtupa. Kama hatofundishwa na wazee wake ulimwengu utamfundisha.
 
Kumbe hajaachika yeye mwenyewe ndo kakimbia ndoa mxieee
 
mmh ila wastara nae kiboko, ndo shida ya pesa za kuhongwa mwisho wa siku unadhalilika khaaa!!!!
 

Wewe umenifanya nicheke.. Bwahaaaa haaaa
 
Sadifa sikupendi kwa u ccm wako.lakini katika hili kama mwanamume mwenzangu nakuomba ushukuru mungu tu aende zako.Maana hakuna wanawake nawaogopa duniani kama Lulu,Wastara na Kim Kardashian.Kama unataka kujua ni kwanini,fatilia historia za wanaume wamewahi kuwa nao huko nyuma wako wapi sasa hivi.Achana nae aisee
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…