Ndoa ya Wastara yadaiwa kuvunjika, mumewe afafanua kilichotokea

Ndoa ya Wastara yadaiwa kuvunjika, mumewe afafanua kilichotokea

Status
Not open for further replies.
Kwa waislamu kuvunja ndoa ni jambo dogo sana, kwanza anayeolewa huwa ni baba mtu sasa bond iko wapi? nimehudhulia hizi ndoa za kiislamu baba ndio anakaa na muowaji badala ya muolewaji awepo aulizwe kwamba anakubali kuolewa kwa mahali kadha wa kadha. kuna tatizo sehemu kwenye hizi ndoa, hazina serious bond.

Kama mtu ana mihemko yake shauri yake anitafsiri awezavyo ila mimi ni Team Trump tunaongeaga ukweli tu na si kupepesa.

Mpaka kufika kukaa baba wa muolewaji na muowaji pamoja ujue hapo yashapita makubaliano kati ya muolewaji na muowaji..na pia baada ya huyo muowaji kuulizwa maswali hayo ya 'umekubali kumuowa binti fulani wa fulani' baadae hugeukiwa binti muolewaji na kuulizwa da same question..kwaiyo bond ipo vzr tu
 
Una uhakika na ulichoandika? Wewe unaijua ndoa ya kiislam na masharti yake? Mkuu uliza kwa wanaoelewa sio kukurupuka tu, hivi kwa nini upande wa pili mnajifanya ( baadhi) mnaujua sana uislam? Ndoa ya kiislam ni ngumu na ina masharti magumu kuliko hiyo yako, hivi kweli mwenye akili timamu unaweza kusema baba ndiye anayeolewa!! yaani baba zetu ndio wanaoolewa kuwa na heshima basi

Msamee bure tu sio akili zake huyo si bure
 
Wastara alikuwa anaeleweka alikuwa hatafuti mume isipokua anatafuta mtu wa kumtapeli kwa njia yeyote hata kwa gea ya ndoa ili amsponsor wa kumlipia gharama za kupata matibabu India. Wastara hajawahi kumpenda huyo mume, bado anajiona msichana anataka atumbue maisha na vijana, hajifahamu kama anachezea shilingi choni. Itakuwa bora wazee wake wamshauri arudi kwa mumewe na aachane na tamaa, asipofanya hivyo hao vijana anaowataka watamchezea kama mpira na kumtupa. Kama hatofundishwa na wazee wake ulimwengu utamfundisha.
 
Kumbe hajaachika yeye mwenyewe ndo kakimbia ndoa mxieee
 
mmh ila wastara nae kiboko, ndo shida ya pesa za kuhongwa mwisho wa siku unadhalilika khaaa!!!!
 
Maelezo ya kina tafadhari kwa mfano, Wastara anajishughulisha na ...................
Aliolewa tarehe ...................na fulani .......
Kaachwa kwa sababu ya ......................
Sio wote tunawajua watu wote hapa mjini.

Wewe umenifanya nicheke.. Bwahaaaa haaaa
 
Sadifa sikupendi kwa u ccm wako.lakini katika hili kama mwanamume mwenzangu nakuomba ushukuru mungu tu aende zako.Maana hakuna wanawake nawaogopa duniani kama Lulu,Wastara na Kim Kardashian.Kama unataka kujua ni kwanini,fatilia historia za wanaume wamewahi kuwa nao huko nyuma wako wapi sasa hivi.Achana nae aisee
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom