Ndoa ya Wastara yadaiwa kuvunjika, mumewe afafanua kilichotokea

Ndoa ya Wastara yadaiwa kuvunjika, mumewe afafanua kilichotokea

Status
Not open for further replies.
Mitihani juu ya mitihani.hii ndoa ilikuwa ya maonesho hapakuwa na userious kwa mhe sadifa.
 
Namuonea huruma sana huyu dada/mmama...ni wakati sasa wa kumrudia Mola wake kwa nguvu zake zote...hakika hakuna kubwa kwa Muumba
 
Maelezo ya kina tafadhari kwa mfano, Wastara anajishughulisha na ...................
Aliolewa tarehe ...................na fulani .......
Kaachwa kwa sababu ya ......................
Sio wote tunawajua watu wote hapa mjini.
Usije mjini.....
 
Namshaur aokoke Yesu atayaondoa mapepo yake yote ya kukataliwa, wastara kimbilia kwa Yesu haraka sana hilo ndo suluhisho kwa hakuna zaid ya Yesu
Kesho tuu hapa Yesu anaenda kusalitiwa...sembuse wastara....
 
Mkuu kama hujui yote haya kuhusu huyu dada basi ujue habari haikuhusu.

Anyway, mimi pia simjui nasubiri ujibiwe na mimi niokotezee hapo.
Si kila habari inamhusu kila mtu. Nyingine unapotezea.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom